Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Ungekuwa unajitokeza tungejua. Ama ungekuwa umekufa, umeumizwa mguu au uko rumandeMna uhakika gani kama watu wote waliopo humu hawajitokezi huko mnakotaka? Acheni mambo yenu ya kijinga ya kutaka kupangia watu maisha yao.