BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Ni ukweli mtupu wakiongozwa na Carlos The JackalHumu ndio home of Keyboard worriors, ambao on the ground wana negative zero impacts.
Wanaharakati humu hakuna hata mmoja anaweza tokea kwenye maandamano,ni rahisi sana watu back wasio na acces ya mitandao kutokea kwenye maandamano ila sio hawa ma keybord worriors.
Sasa kutana nao uone wanavyo shauri viongozi waitishe maandamano utazania watatokea kumbe hakuna hata mmoja anaweza tokea, hawa hata kule Mahakamani Kisutu hawajawahi onekana kamwe. Sina hakika hata kama zile tonetone walichangia.
Niwakumbushe hakuna mageuzi yalio wahi letwa na keyboard worrior, bali watu wali leta mageuzi wakiwa mguu kwa mhuu filed.
Sasa kama kuna ushauri viongozi wa CDM huingia humu kuchukua ni dhahiri wanapotea.
View attachment 3410187
kabisa mkuu, asilimia 100Ni ukweli mtupu wakiongozwa na Carlos The Jackal
Ingekua hivo, Wanazi msingehangaika Kufungia Mitandao ya KijamiiNi ukweli mtupu wakiongozwa na Carlos The Jackal
Ponjoro wa kinondoni, Shetan hajawahi ishinda Haki.kabisa mkuu, asilimia 100
CERFIED ndiyo kitu gani?Humu ndio home of Keyboard worriors, ambao on the ground wana negative zero impacts.
Wanaharakati humu hakuna hata mmoja anaweza tokea kwenye maandamano,ni rahisi sana watu back wasio na acces ya mitandao kutokea kwenye maandamano ila sio hawa ma keybord worriors.
Sasa kutana nao uone wanavyo shauri viongozi waitishe maandamano utazania watatokea kumbe hakuna hata mmoja anaweza tokea, hawa hata kule Mahakamani Kisutu hawajawahi onekana kamwe. Sina hakika hata kama zile tonetone walichangia.
Niwakumbushe hakuna mageuzi yalio wahi letwa na keyboard worrior, bali watu wali leta mageuzi wakiwa mguu kwa mhuu filed.
Sasa kama kuna ushauri viongozi wa CDM huingia humu kuchukua ni dhahiri wanapotea.
View attachment 3410187
Tunataka muingie mtaani kwenye maandamano, msiishie kukinukisha kwenye Twitters na JFIngekua hivo, Wanazi msingehangaika Kufungia Mitandao ya Kijamii
Kwahiyo ndio maana mnataka wajitokeze wengine na sio nyinyi JF Keyboard Warriors? Nimekusoma!!!Kwa hiyo unataka nini! Wajitokeze ili muwaue, kuwateka na kuwapoteza kama mlivyofanya kwa wanaharakati wengine! Mfano Ben Saanane na Mdude_Nyagali?
Akijibu nitagCERFIED ndiyo kitu gani?
Anguko kubwa moja takatifu liko njianiKwahiyo ndio maana mnataka wajitokeze wengine na sio nyinyi JF Keyboard Warriors? Nimekusoma!!!
Wacha tulisubiri. Na usisahau kunitag likifika.Anguko kubwa moja takatifu liko njiani
Usimsahau Erythrocyte.Ni ukweli mtupu wakiongozwa na Carlos The Jackal
Hapana, endeleeni kubaki humu humu kuwashabikia CCM wakiparuranaKwa hiyo unataka nini! Wajitokeze ili muwaue, kuwateka na kuwapoteza kama mlivyofanya kwa wanaharakati wengine! Mfano Ben Saanane na Mdude_Nyagali?
Mna uhakika gani kama watu wote waliopo humu hawajitokezi huko mnakotaka? Acheni mambo yenu ya kijinga ya kutaka kupangia watu maisha yao.Kwahiyo ndio maana mnataka wajitokeze wengine na sio nyinyi JF Keyboard Warriors? Nimekusoma!!!
Tukumbushe lini iliwahi kuwa kwenye huo mstari mana sisi wengine tumejaaliwa kuwepo awamu zotePonjoro wa kinondoni, Shetan hajawahi ishinda Haki.
Tutaendelea kutumia Kila Mbinu ,Kila tunaloliweza kuhakikisha kwamba TANZANIA YETU, INARUDI KWENYE MSTARI.
Na siku zote itabakia kuwa hivyo. Adui yako muombee njaa.Hapana, endeleeni kubaki humu humu kuwashabikia CCM wakiparurana