Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

Mkuu benki ya 13% ipo ila ni kati ya hizi microfinance za kutoka america zilizpo hapa nchini
 
Mkuu,,tumegee optiona amabzo mtu anaweza kuwekeza..mie najua fixed..kununua hisa..na UTT lakini UTT sijawahi..Hisa nilinunua za vodacoma na swalaoili kila moja nikalipa million 1 moja sasa sijaona faida yakunujua hisa.So shauri mkuu options zingine njema kwa 40 million.Niko 50yrs
 
Kanunue government bond faida yake inatokana na muda unaoweka na utt Ina range kutokana na mwaka husika uzuri wa government bond inakuwa unajua exactly amount utakayopata as coupon na pia unaweza kupata mkopo⅔ ya fedha uwekezaji wako kupitia crdb .Utt pia unaupata mkopo
 
Thanks very much..naendelea kujifunza pia kwa option kutoka kwa wadau
 
Mkuu wewe UTT inakufaa.. Kama una 40m inatosha sana kwa kuanzia Bond Fund, utakuwa unapata dividend kila mwisho wa mwezi na hiyo pesa waweza itumia kama collateral bank kupata mkopo
 
Word
 
Sasa wewe Mkuu tunaweza Zungumza Lugha Moja.. You seem to be financially literate, hiki ulichobreakdown hapa inaonesha how financiall literate you are kwamba unakwenda bank unajua nini bank inafanya na wewe unapata nini, its a kinda knowledge watz wengi hawana na hawataki kujifunza, mtu akiambia interest tu anakurupuka kuweka pesa yake bila kuangalia pros and cons.
Big up Mkuu
 
Mkuu tupe kidogo hiyo elimu ya uwekezaji wa real estate huko Dubai
 
Mkuu tupe kidogo hiyo elimu ya uwekezaji wa real estate huko Dubai
Shida kubwa ya Wabongo wengi Mkuu ukiandika vitu hapa wanaanza Ooh tapeli, ndio maana watu tunabaki kimya kula mtu ashinde mechi zake. Its very disappointing mtu unajaribu kutoa knowledge kusaidia wenzio lakini wenzio haohao wanakukatisha tamaa.
Watu hawako tayari kujifunza na hawako tayari kupokea vitu vipya.
 
Kiongozi yaliwai kunikuta kama ww.bora kila mtu ashinde mechi zake. Nilishukiwa kama mwewe. Mungu ni mwema mambo yanakwenda kimya kimya. Nilibezwa cjapata kuona
 
Change your Mindset kwanza. Hakuna Benki inayotaka Utajirike ukiwa na Mtaji mdogo. Benki utatajirika ukiwa na mil 200 kwenda mpka Bil 1
Unatajirilaje kwa kuweka million 200 benki?
 
Why usiuze nyumba yako kisha ukazungusha hela then ukainunua tena ama ukajenga nyingine nzuri kuliko hiyo
Mnafikiri kuizungusha hela ni jambo jepesi eeh...Hao wanaozungusha hela sio rahisi jamani kuna watu wanatumia mpaka mzizioloji we unaona mtu anafanya biashara tu kwa macho ya nyama.

Behind the scene watu wamejikita vizuri kivita. Biashara sio jambo la kukurupuka kizembe hasa kama haiko katika form ya kampuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…