Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

Hao wahuni utashangaa wanakupa 9% kwa mwaka ambayo ukipiga hesabu kila mwezi itakuwa hela ndogo sana hasa kwa wenye mitaji midogo
Yaani nimepiga hesabu hapa kama ukiweka milioni 100 na ukapata hiyo 9%, basi utapata milioni faida ya milioni 9 kwa mwaka ambayo ni sawa na 750,000 kwa mwezi.
Sasa si bora uchome mihogo tu!

nimeamini hakuna bank inataka ttajirike
 
Yaani nimepiga hesabu hapa kama ukiweka milioni 100 na ukapata hiyo 9%, basi utapata milioni faida ya milioni 9 kwa mwaka ambayo ni sawa na 750,000 kwa mwezi.
Sasa si bora uchome mihogo tu!

nimeamini hakuna bank inataka ttajirike
Ni noma mzee yani bora uweke sehemu ambayo utaweza kula hio 750K huku ukipewa loan ya 100M nyengine 😂😂😂 Kama wafanyavyo hao UTT
 
Mkuu kwa mfano UTT nina vipande vya milioni 50... Hawa CRDB wanaweza kunikopesha ngapi kiwango cha juu?
Utapata za kutosha, wewe nenda CRDB bank watakupa maelezo mazuri , angalizo si Kila afisa mikopo anaielewa mzuri wa hizi collateral. Kama una gvt bonds wanatoa hadi 90% ya thamani ya bond. Ikiwa na hisa pia zinaweza zikatumika kama collateral ila unapata mkopo kidogo
 
Safi sana hii, naomba uniambie huo mpango wa gawio unaitwaje mkuu
 
Umefanya vizuri sana kugundua na Kutoa elimu,Hiyo ndio maana halisi ya kuelimika.SAIDIA WENGINE KUPITIA ELIMU YAKO.
 
Sahihi kabisa mkuu Ila sidhani Kama ma-bank yanaweza kuzikubali hisa za vodacom,precision air maana Ni kimeo kishenzi.
 
Why usiuze nyumba yako kisha ukazungusha hela then ukainunua tena ama ukajenga nyingine nzuri kuliko hiyo
Kwani wajua location ya hiyo nyumba. Waweza kuta ipo BONDE la Jangwani ukashangaa
 
Kwa business zenyewe hizi za kilimo cha nyanya[emoji28][emoji28].Bora ikae huko.

Mtaani Kwa Sasa kabichi ni 200 na unapewa na kitunguu kama zawadi[emoji1787][emoji1787].
Narudia ukiwa JF ukafa kwa STRESS uzembe wako mwenyewe. Wapi hii ya kuongezewa kitunguu!!!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…