zipalapwata
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 290
- 156
K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vp je pesa unazowek Kuna Makato yeyotehao bonus acount waongo wala hawatoii bonus kama wanavyodai kwenye charts
ukitaka kupata pesa bank fixed tu ndo inaukweli kwasababu unafunga mkataba nao
ni kweli lakini kama unamtaji mkubwa kwanini usiende BOT ambapo na hao UTT wanawekeza? na bado unaweza kukopa benk dhamana hiyo ukanunua hisa zingine za thamani labda 30mil na instalment yake ikawa inalipa deni kila baada ya miezi sita na riba yake haitakuwa sawa na mikopo mingine ya biashara.Nimegundua wabongo wengi Financial Literacy ni Zero. Peleka hiyo pesa UTT weka kwenye ule mpango wa Gawio la kila mwezi. Kwa hela hiyohiyo itakupa mkopo mwingine wa fedha isiyopungua 20m sasa hizo 20m ndio zungusha mtaani, mkopo wako utalipwa na Gawio la kila mwezi la uTT!
Hii 20 ya mkopo hata kama utanuwea pombe ile 45 yako ya UTT italipa na deni likiisha unabakiwa na 45 yako. Hii ni elimu ndogo sana ya uwekezaji niliyokupa ila kama upo tayari kwa ushauri zaidi wa bure tu nicheki PM.
45m ukituliza kichwa ni pesa inayokutoa.
hapo sawaZipo mkuu... kuna mtu amekula 14pc, ila sio bank kubwa roho mkononi, ni bank ndogo zenye shida ya liquidity na zenyewe zinagonga watu 24pc.
BOT si ni mpaka watangaze lakini? Ukitaka kununua sasa hivi bila kutangazwa inabidi ununue kwenye secondary market ambapo ni kama bank kawaida tuni kweli lakini kama unamtaji mkubwa kwanini usiende BOT ambapo na hao UTT wanawekeza? na bado unaweza kukopa benk dhamana hiyo ukanunua hisa zingine za thamani labda 30mil na instalment yake ikawa inalipa deni kila baada ya miezi sita na riba yake haitakuwa sawa na mikopo mingine ya biashara.
ongea na dealers watakuelekeza unaweza kununua wakati wowote tuBOT si ni mpaka watangaze lakini? Ukitaka kununua sasa hivi bila kutangazwa inabidi ununue kwenye secondary market ambapo ni kama bank kawaida tu
Sawa lakini siyo primary market ,hiyo inakuwa secondary marketongea na dealers watakuelekeza unaweza kununua wakati wowote tu
ni kazi sana kuwasaidia maskini na tatizo lao wanaangalia hela ya leo tuSina njaa mkuu na wala sihitaji fee yoyote ila kwa ushauri wangu nitakaompa yeye mwenyewe akijisikia kunipa asante sawa. Mimi ni muwekezaji kitambo tu na nimesaidia wengi humu ndani kwa ushauri.
Tatizo wabongo wengi tuna roho mbaya sasa mtu hata ukitoa ushauri wanadhani unataka hela.
issue za Primary na Secondary Market hazipo BOT hizo zipo DSE. Huku ni serikali inauza hati fungani iliiweze kufinance activitiy zake au wakati mwingine inaweza kufanya hivyo kupunguza mzunguko wa hela mtaani.Sawa lakini siyo primary market ,hiyo inakuwa secondary market
Je UTT wana matawi mikoa gani?Kama umeajiriwa na bado kijana pia bado hujajua ufanye nini nje ya kazi yako basi nenda UTT fungua akaunti anza kuweka
Pesa kidogo kidogo baada ya 3-5 yrs utapata mtaji mzuri sana. UTT wana mifuko mbalimbali na watakuelekeza.
Huitaji kuwa na nyumba ili uitwe fundi na si kila mtu anahitaji taarifa zilizo kitaalam zaidi na baadhi ya taarifa zinaweza kuwa hazitakiwi kuonekana na wengi.wewe mtoa ushauri unazo hizo 45m ngapi ..au ndo nawewe unamuita huko Pm ukamvune hio pesa kwa jina la consultancy fee .?
hawa wengi wanawekza kwenye microfinance ambayo kiukweli inawalipa hata wakilipa kwa hiyoIpo yenye 15 ndugu.Tanzania hii hii,tena unaweza idharau hiyo benki lkn ndio hivyo.
wanayo lakini unaweza kununua kupitia benki kwa maelekezo zaidi ingia kwenye mtandao waoJe UTT wana matawi mikoa gani?
wanayo lakini unaweza kununua kupitia benki kwa maelekezo zaidi ingia kwenye mtandao wao
Ukiweka hiyo 40M unapata kiasi gani kila mwezi kama dividend? Tuanzie hapo kwanza ndugu, ili nione kama kuna faida ya KUITELEKEZA hiyo milioni 40 huko UTT.Mkuu wewe UTT inakufaa.. Kama una 40m inatosha sana kwa kuanzia Bond Fund, utakuwa unapata dividend kila mwisho wa mwezi na hiyo pesa waweza itumia kama collateral bank kupata mkopo
CRDB Branch karibu zote za mikoni wana mtu waoJe UTT wana matawi mikoa gani?