Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitaala je????
Kama ni kweli basi pia waliondaa marking scheme nao wana upungufu flani hiviJana nilipata bahati ya kuonana na mmoja wa walimu walioteuliwa kusahihisha mitihani ya kidato cha 4, 2012. Swali langu kubwa nilitaka kujua jinsi gani walifanya kazi hiyo, hasa marking scheme. Moja ya jibu lililonishtua ni marking scheme kwa masomo ya lugha, Yaani English na Kiswahili. KUWA KEPENGELE (C) ambako hubeba marks 55% mpaka 60% huwa kuna maswali 3-5 lakini mojawapo huwa ni lazima kulifanya kwa lugha ya kigeni (compulsory ) niliambiwa kuwa katika kusahihisha kipengele hiki msahihishaji alipaswa kuangalia kama mtahiniwa amefanya swali la compulsory, kama mtahiniwa hakulifanya section yote huachwa ikiwa na maana section (C) yote mwanafunzi amepata zero. Hivyo hubaki kusahihishwa section A na B zeney jumla ya marks 40% tu.
Hoja ya msingi: Inabidi iundwe tume huru kujua tatizo katika matokeo ya kidato cha 4 kila mwaka, kuanzia usahihishaji mpaka kupanga matokeo. Watoto wa wakulima 60% hawana pa kwenda wakati tunasema elimu ni ufunguo wa maisha. Ni asilimia ngapi wamekatishwa tama na matokeo haya na ambao watajiingiza katika shughuri zisizo rasmi? Ukizungumza na baadhi ya vijana ambao tangu kidato cha kwanza wamekuwa wakifanya vizuri mpaka kwenye mitihani ya kanda ya majaribio wakifanya vizuri wamekataa kufeli kwa kiwango cha div zero ikiwa ni kupata alama F kwa masomo yote. Wamesema kufeli kwa div four inawezekana. Hivyo kuondoa utata huu tunaomba kujua zaidi katika baraza la mitihani.
Mkuu sikuamini pale Waziri alipotokeza mbele ya waandishi wa habari huku anatabasmu kama vile hakuna baya lilotokea. Kiongozi wanamna hii hafai kabisa. Hoja ya Mbatia ilikuwa na mshiko na hivi sasa atajizolea umaarufu mkubwa. Haishangazi kama naibu waziri aliwahi kusema Tanzania ni muunganiko wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe unategemea nini kwa watoto wetu? Kama ile presentation ingekuwa ni mtihani waziri siku ile angekuwa kwenye hili kundi la 60%.:A S 39:Warudi darasani kwa gharama zipi,
mishahara tu ya watumishi inaielemea nchi,
la maana wahusika wajivue madaraka wakianzia ngazi ya juu hadi ya chini.
Spika na naibu wake pamoja na uongozi wa bunge kwa ujumla, kama hata vijana wetu wa miaka 19 hadi 20 wanaliona Bunge letu kama ni kijiwe ni hatari sana.
Watoto wanalalamikia mfumo wa elimu, wananchi wanalalamika, waalimu wanalalamika, wadau wa elimu wanalalamika, wasomi wanalalamika wazazi wanalalamika. Mbunge anajitokeza kwa nia njema kuleta hoja bungeni tuujadili mfumo wetu kwa ujumla wetu, Bunge linaungana na serikali kusema hakuna haja.
Mtahiniwa badala ya kujibu maswali kumpima uelewa wake kwa miaka 4 aliyokaa darasani yeye anaandika hivi, tunakwenda wapi as a nation?
nawashangaa wabunge, wamekaa kama wapo kijiweni, wabunge wamekosa ustaarabu, badala kujadili kero za wananchi waliowachagua, wanapokea timu zilizoshinda makombe… timu ikishinda Kombe la Kagame inapokelewa bungeni. Bunge limekuwa kama kijiwe, bungeni siyo ukumbi wa starehe kama mnataka kupokea timu hizo nendeni katika ofisi zao au viwanjani…"
"
Mkuu sikuamini pale Waziri alipotokeza mbele ya waandishi wa habari huku anatabasmu kama vile hakuna baya lilotokea. Kiongozi wanamna hii hafai kabisa. Hoja ya Mbatia ilikuwa na mshiko na hivi sasa atajizolea umaarufu mkubwa. Haishangazi kama naibu waziri aliwahi kusema Tanzania ni muunganiko wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe unategemea nini kwa watoto wetu? Kama ile presentation ingekuwa ni mtihani waziri siku ile angekuwa kwenye hili kundi la 60%.:A S 39:
kaka ukristo tena unatokea wapi kaka?
Kijana zermarcopolo ni msomi mzuri tu DR kwa proffessional lakini hana akii kabisa siku hizi nae kaingia kwenye peyroll ya nape inatia huzuni sana.Elimu yake haijamsaidia chochote yeye anafikiria kwa kutumia tumbo.Nape mwaka huu lazima atawaoa wee ngojeni kama mwanaume unalipwa kuandika utumbo kwenye internet siku si nyingi utalipwa kuinamishwa coco beach na kupigwa nao.... wewe ni y AU NI ... X
cc zeMarcopolo senior Biologist ZE MAGAMABAS the lost representative !!
...zemakopolo.....kamanda nawewe uko chini ya NAPE???.....Kwa akili yako wewe NAPE anakuajili?????????? ....ACHA KUTUDHALILISHA...UNAKESHA KWENYE MITANDAO KUVIZIA BUKU KUMI PER SIKU???? ....Makopolo hii ni aibu wewe KUWA NA ELIMU YAKO KUWA MTUMWA WA LUMUMBA!!!
Matokeo haya ni msiba wa taifa, kwanini bendera haipepei nusu mlingoti, maana kila familia yenye mtoto aliyemaliza kidato cha nne mwaka 2012 wanalia na haya matokeo! Halafu Mulugo na Kawambwa wapo tu wanavinjari na mashangingi ya Umma!
mbaya zaidi waliofeli ni watoto wa walala hoi kwenye zile shule za kata.Matokeo haya ni msiba wa taifa, kwanini bendera haipepei nusu mlingoti, maana kila familia yenye mtoto aliyemaliza kidato cha nne mwaka 2012 wanalia na haya matokeo! Halafu Mulugo na Kawambwa wapo tu wanavinjari na mashangingi ya Umma!