Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

Ulisikia kauli ya mkuu wa mkoa dar
Kuhusu watu wa mabondeni [emoji1]

Ova
Inabidi uwe na akili ya mvuta bangu kumwelewa huyo jamaa! Na kwa sababu yeye ameonwa anafaa kwa hiyo kazi, sielewi kwa nini bangi haijahalalishwa hadi leo!
 
Kuna mawazo ya maana sana huko nje, lakini tumefikia mahali ambapo hakuna kinachofanyika bila kuwaahidi 30%
 
Wahame waende wapi mkuu!! Viela vyenyewe vya kudunduliza, huwezi kuhama wakati huna pa kwenda, wakati mwingine hela ya msosi tu shida! Tuombe sana Mungu atuepushe na haya majanga kusema kweli [emoji1431][emoji1431]
Ni kwa kujua hili ndio tunasema serikali lazima iwajengee kablaya kuwahamisha. Huwezi kumhamisha mtu aondoke ghafla wakati hiyo nyumba kaijenga kwa miaka 10 na wewe unamwangalia tu!
 
Ni kwa kujua hili ndio tunasema serikali lazima iwajengee kablaya kuwahamisha. Huwezi kumhamisha mtu aondoke ghafla wakati hiyo nyumba kaijenga kwa miaka 10 na wewe unamwangalia tu!
Kama hawataki kuhama basi ngojeni muone,

simple.
 
New York (Marekani)



Beijing (China)


London (Uingereza)

Berlin (Ujerumani)


Dubai (UAE)





Huwezi kupambana na nature
 

Attachments

  • images (8).jpeg
    66.2 KB · Views: 5
  • images (9).jpeg
    26.5 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…