Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Siyo bure wewe utakuwa umetumwa kujua tulipo ili muendeze utekaji wenu. Koromee wee
 
Tuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Kwa hili jina lako tu huwezi kuwa wa dar
 
Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Mimi niko Nsukamahela katikati kabisa mwa Tanzania
 
Tuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Ulijiunga jf ukiwa dar, hivyo wewe ni wa dar
 
Hizo ni hisia au utafiti? Kwa mfano mimi niko Dar au mikoani?
 
Mimi niko Nsukamahela katikati kabisa mwa Tanzania
Sio Nsukamahela jamaa,ni suka mahela.
Manyoni hio.
Pale juu mlimani kuna mnara flani hivi.
Sukamahela-solya-mhalala-kwa ridhiwan pale sheli-manyoni iyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…