Issa Jemadari
New Member
- Feb 11, 2017
- 4
- 1
Hahaaa nakapenda Sana haka kamsemo.Songea nyumbi bombi!!!!
Hatuna shida ya maji wala ugali!!!Hahaaa nakapenda Sana haka kamsemo.
Nyumbi hii bombi hii.
Hatunashida ya maji.
Sana mkuu, malombi yakutosha tunayopia.Hatuna shida ya maji wala ugali!!!
IringaTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Siyo kweli mbona sisi hata hatupp TanzâniaNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Kama kumwanya hapa!!Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.