Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huo ndio ukweliWatu wa dsm bhana khaa mnapenda kujipa Kiki [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mikoani network ni shida sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Siyo bure wewe utakuwa umetumwa kujua tulipo ili muendeze utekaji wenu. Koromee wee
Mie nipo buja karibumie niko muyinga burundi karibuni
Kwa hili jina lako tu huwezi kuwa wa darTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Huko si ni msumbiji tenaMi niko Mbimbi.
Ukitoka songea-lumecha-namabengo-lihomelo-mbimbi
Mimi niko Nsukamahela katikati kabisa mwa TanzaniaNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Mikoani smart phone chache.kuliko majembe.Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
tafiti.zenye utata zoote made in twaweza huwa ni zauwongo kma hii kafanye tenaNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Ulijiunga jf ukiwa dar, hivyo wewe ni wa darTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Sio Nsukamahela jamaa,ni suka mahela.Mimi niko Nsukamahela katikati kabisa mwa Tanzania
Tembea mkuu,sio mijini tu,kula na chochi mkuuHuko si ni msumbiji tena
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ila wengi wao ni wanafunzi...