Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Asilimia 65 ya wana JF wanakaa dar

Kuna uzi mmoja nimeona unasema kuwa mara nyingi koment na nyuzi za nizakipuuzi, kweli nimeamini hivyo pia.
 
Sababu Dar wanafunzi ni wengi na wengi mna miliki simu
Mikoani wanao miliki simu ni wakubwa tu
 
Back
Top Bottom