raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kiongozi acha masikhara bas 😆Mkuu ukifika level 10,000 unaimaliza bila kujua mshukuru Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi acha masikhara bas 😆Mkuu ukifika level 10,000 unaimaliza bila kujua mshukuru Mungu.
Uchumi mbovu pesa haina samani, kuna nilimpeleka kutoa pesa ATM alikuwa anataka kutoa Dollar elf mbili sasa kwenye ATM haitoi dollar ikabidi tutoe kwa shilingi sasa tumetoa pesa yule mgeni akawa anashangaa anatoa pesa nyingi sana, uku kwo hiyo dollar elf mbili unatoa noti chache sanaHiyo ni dalili ya uchumi mbovu.
Hahaha kutoka Esther hadi Fadhili lazma ife 150K mapema sana.Duh kumbadili Esther awe Fatuma inakufa si chini ya misimbazi 15
Uchumi mbovu au mzuri? Maana wananchi wengi wana hela, vipato vya wananchi wengi ni vikubwaHiyo ni dalili ya uchumi mbovu.
Huo n uchumi mbovu kwa sababu gharama za maisha znapanda unaweza kuwa na izo elfu kumi but haina thaman sababu zipo nyingi kwa waliosemea uchumi ndo wataelewaUchumi mbovu au mzuri? Maana wananchi wengi wana hela, vipato vya wananchi wengi ni vikubwa
Pesa nyingi iko kwenye mzunguko sio 😃Uchumi mbovu au mzuri? Maana wananchi wengi wana hela, vipato vya wananchi wengi ni vikubwa
Yan mshahara wangu mzima unauacha Total 😂Duh kumbadili Esther awe Fatuma inakufa si chini ya misimbazi 15
Mkuu si masihara,huku kitaa 10,000 unaweza maliza wiki hujaiona! Kijijini kwetu ndio hata chenji hupatiKiongozi acha masikhara bas 😆
Nafikiri hili wala sio la ajabu, noti za 10k tangu zamani ndio zipo nyingi kwenye mzunguko sababu miamala mikubwa kwenye uchumi yote inafanyika hela zikiwa kwenye mafungu ya 10ksUkitaka kujua ina thamani njoo nayo kwetu uswahilini.
Hata Marekani dola 100 ndio zipo nyingi kuliko 5s, 10sUchumi mbovu pesa haina samani, kuna nilimpeleka kutoa pesa ATM alikuwa anataka kutoa Dollar elf mbili sasa kwenye ATM haitoi dollar ikabidi tutoe kwa shilingi sasa tumetoa pesa yule mgeni akawa anashangaa anatoa pesa nyingi sana, uku kwo hiyo dollar elf mbili unatoa noti chache sana
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
HAHAHA Ulisoma shule gani mkuu? Noti kubwa ku dominate kwenye mzunguko wa fedha ni ishara ya kuwa na kiwango kikubwa cha mfumko wa bei ( high inflation rate).Uchumi mbovu au mzuri? Maana wananchi wengi wana hela, vipato vya wananchi wengi ni vikubwa
Kwa mantiki yako basi Marekani ambayo uchumi na hela yake ndio inaaminika zaidi kuwa ndio salama kutakua na uchumi mbovu sanaHAHAHA Ulisoma shule gani mkuu? Noti kubwa ku dominate kwenye mzunguko wa fedha ni ishara ya kuwa na kiwango kikubwa cha mfumko wa bei ( high inflation rate).
Hii hali hupelekea kuchapishwa kwa noti zenye thamani kubwa zaidi mfano noti ya 20,000/= nk.
Uimara wa sarafu ni pale sarafu zenye thamani ya chini zinapokuwa na asilimia kubwa kwenye mzunguko.
Zimbabwe iliingia kwenye mfumko uliopelekea kuchapishwa noti mpaka ya 1,000,000/=
Kununua mkate ilibidi kuwa na noti nyingi ndipo thamani ya mkate uipate. mwishowe sarafu yao ikaanguka na wakaamua kutumia us dollar.
Kwahio nitembee kifua mbele sio 😆 unitakii mema weweMkuu si marihara,huku kitaa 10,000 unaweza maliza wiki hujaiona! Kijijini kwetu ndio hata chenji hupati
Hakuna unacho kijua kuhusu masuala ya kiuchumi acha kutulisha matango pori mkuu, nchi zote duniani noti kubwa ndio huwa ni nyingi kwenye mzunguko kutokana na kwamba watu wengi wakienda kufanya miamala kwenye benki huwa wanapendelea kufanya miamala ya noti kubwa na sio noti ndogo.HAHAHA Ulisoma shule gani mkuu? Noti kubwa ku dominate kwenye mzunguko wa fedha ni ishara ya kuwa na kiwango kikubwa cha mfumko wa bei ( high inflation rate).
Hii hali hupelekea kuchapishwa kwa noti zenye thamani kubwa zaidi mfano noti ya 20,000/= nk.
Uimara wa sarafu ni pale sarafu zenye thamani ya chini zinapokuwa na asilimia kubwa kwenye mzunguko.
Zimbabwe iliingia kwenye mfumko uliopelekea kuchapishwa noti mpaka ya 1,000,000/=
Kununua mkate ilibidi kuwa na noti nyingi ndipo thamani ya mkate uipate. mwishowe sarafu yao ikaanguka na wakaamua kutumia us dollar.
Huyu jamaa anataka kutuletea ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu, sio Marekani tu ni dunia nzima noti kubwa ndo huwa ni nyingi kwenye mzunguko.Kwa mantiki yako basi Marekani ambayo uchumi na hela yake ndio inaaminika zaidi kuwa ndio salama kutakua na uchumi mbovu sana
Maana Marekani kuna noti za kuanzia dola 1, dola 2, dola 5, 10, 20, 50, 100
Hadi cents zinatumika
Lakini asilimia 77 ya hela iliyopo kwenye mzunguko ni dola 100
View attachment 2467798
10k lazima iwe nyingi kwenye mzunguko sio sasa tu tangu zamani, maana ndio hela iliyopo kwenye uchumi mkuu,
Miamala kwenye uchumi mkuu kama Mishahara serikalini na sekta binafsi, usafirishaji, banking, ujenzi, foreign exchange, zinahusisha matrilioni ya transactions kwa mwezi tangu zamani na zinakua katika 10ks
Tafsri rahisi mwambie elfu 10 mbili zinanua debe moja la mahindi na elfu tano moja hainunui debe moja la pumba za mahindi.Huo n uchumi mbovu kwa sababu gharama za maisha znapanda unaweza kuwa na izo elfu kumi but haina thaman sababu zipo nyingi kwa waliosemea uchumi ndo wataelewa
Angekuwa China angetoa pesa kiasi gani?Uchumi mbovu pesa haina samani, kuna nilimpeleka kutoa pesa ATM alikuwa anataka kutoa Dollar elf mbili sasa kwenye ATM haitoi dollar ikabidi tutoe kwa shilingi sasa tumetoa pesa yule mgeni akawa anashangaa anatoa pesa nyingi sana, uku kwo hiyo dollar elf mbili unatoa noti chache sana
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app