Asilimia 82.5 ya pesa taslimu iliyopo katika mzunguko ni noti ya shilingi 10000

Asilimia 82.5 ya pesa taslimu iliyopo katika mzunguko ni noti ya shilingi 10000

Halafu wangefikiria kubadilisha na pesa yenyewe
Wewe dunia nzima uliona wapi nchi wanatumia noti za rangi ya njano au kijani. Ila misimbazi ipo kibaao. Kiboko yenu msiyempenda wa viper kija. Oo mo hana hela. Anazo kibao.
 
Uchumi mbovu pesa haina samani, kuna nilimpeleka kutoa pesa ATM alikuwa anataka kutoa Dollar elf mbili sasa kwenye ATM haitoi dollar ikabidi tutoe kwa shilingi sasa tumetoa pesa yule mgeni akawa anashangaa anatoa pesa nyingi sana, uku kwo hiyo dollar elf mbili unatoa noti chache sana

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Aiseee
 
HAHAHA Ulisoma shule gani mkuu? Noti kubwa ku dominate kwenye mzunguko wa fedha ni ishara ya kuwa na kiwango kikubwa cha mfumko wa bei ( high inflation rate).

Hii hali hupelekea kuchapishwa kwa noti zenye thamani kubwa zaidi mfano noti ya 20,000/= nk.

Uimara wa sarafu ni pale sarafu zenye thamani ya chini zinapokuwa na asilimia kubwa kwenye mzunguko.

Zimbabwe iliingia kwenye mfumko uliopelekea kuchapishwa noti mpaka ya 1,000,000/=

Kununua mkate ilibidi kuwa na noti nyingi ndipo thamani ya mkate uipate. mwishowe sarafu yao ikaanguka na wakaamua kutumia us dollar.
Babu unaandika ambavyo huvielewi wachumi wakipita hapa wataona aibu Kwa shudu hili unalolisha watu
 
Back
Top Bottom