Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

hayo ni maisha ya vijana wa Dar wengi wanaishi kwa shemeji zao huku mikoani hatunaga hizo tabia!
Makonda tu kawajaza vijana nyumbani.....halafu ni wahitimu wa vyuo vikuu wanaishi na kula kwa mtu wa darasa la saba.
VIJANA WA DAR NI SHIDA!
 
Wengi ni Wanachama watiifu WA Ccm
 
Hahaaaa!!!! Yule mkuu wap wadini ambae hua wananwabudu sana alikua ana wake 9, na baadhi walikua ni mabinamu zake,pia aliwahi kuoahadi bint wa miaka tisa
Mudi au unamzungumzia nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…