Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanga mauno utayapata ila mashemeji kibwena.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Interview TRA mnaona nyota nyota ila mpira wa Ulaya na Wasanii wa WCB mnajua mpaka mademu zao
Bila shaka hapa na ww ni mhusika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asee mbavu zanguHongera Mkuu. Mm 2016/17 nilianzisha mahusiano na Divorced woman flan baada ya kunieleza matatizo yake pia nilivutiwa na umbo lake (wezere kama lote japo alikua na smell ya ajabu sana ila nilivumilia) basi akaomba nimlipie kodi nikaona why nilipe kodi wakati nina kwangu akahamia kwangu mwanae wa kiume alikuwa SAUT-Mwanza final year basi alipomaliza mqsomo Julia 2016 nikamtafuta kazi ofisini akawa analipwa 35,000 per day. Na hapo ofisi inatoa chakula na usafiri na home anakaa bure halipii chochote. Kafanya week 2 tu kaacha. Aisee kumuambia Mama yake anadai namnyanyasa mwanae kwa sababu mm si baba yake nilicholifanya nilienda kukodi kirikuu wakabeba vilivyo vyao hasa nguo na mapazia mm nikabaki huru nikihitaji nanunua tu
Mimi kyna shemeji yangu kazaliwa 1978 lkn mpaka leo anakaa kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake, kazi yake anashinda kuosha magari ya shemeji kutwa nzima wakimtafutia kazi anafanya mwezi tu anaacha
Mbona mi naona hamna tatizo hapa nina 47 bado nipo nyumbani na wazazi wanafurahia
Kwa kukushangaza zaidi mpaka hela ya kunyoa midevu namuomba dingi,Vipi wewe unaona mambo fresh tu?
Kwa kukushangaza zaidi mpaka hela ya kunyoa midevu namuomba dingi,
Naunga mkono hoja ukitaka kuyajua hayo ...nenda social media utaona vijana wanavyoongea sentensi za vishazi tegemezi ,mara dada ,mara shemeji
Vijana wengi hawataki kujiongeza wanasubiria ngekewa eti kunasiku itatokea zali la mentali
Aokote hela ....hayo ni mawazo mgando ...wanawaza wanawake na kuomba hela ya kwenda kuhonga
Ukienda nchi za nje vijana umri wa miaka 30 tayar wana life lao
sent from toyota Allex
Alininitoa kafara kwa mganga,ndio akapata hizo fedha,nikiondoka nyumbani anasilisika,kwahiyo mimi ndondocha ndio mana siondoki home na umri huu wa miaka 47Duh aisee, ila mzee wako ana hela , pesa sana.
Alininitoa kafara kwa mganga,ndio akapata hizo fedha,nikiondoka nyumbani anasilisika,kwahiyo mimi ndondocha ndio mana siondoki home na umri huu wa miaka 47
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alininitoa kafara kwa mganga,ndio akapata hizo fedha,nikiondoka nyumbani anasilisika,kwahiyo mimi ndondocha ndio mana siondoki home na umri huu wa miaka 47
Chanel akupe Nani,kwao hao mashemeji walipewa na Nani,pambana kijana tengeneza Chanel zakoTatzo ni chanel .wape chanel wapige kaz
Mkakati unatakiwa uwe nao wewe Kwanza, lazima ujue unasoma nini Kwa ajili ya nini ili uje uwe nani. Siyo unajisomea somea sababu umeona utapata mkopo, unataka mpaka unamaliza form 6 upangiwe usomee nini na Kwa faida gani?? Wewe ni kilazaSio mbaya maana nao watakuja kuwafuga shemeji zao na hivyo ndivyo walivyoandaliwa.
Labda nikufungue akili kidogo
Kila kita huenda kwa mipango na wala sio kukutupuka.
Unamwambiaje kijana aloyesomea uhasibu kuwa leo hii atafute kazi nyingine ya kufanya!!!
Yaani mnataka watu wafanye kazi bila taaluma. Huko ni kubahatisha. Sisi kama taifa inabidi tuwe na mkakati. Sio kufuata mkumbo kama mlivyo msio weza kujitegemea kifikra
Unanunua nini mkuuHongera Mkuu. Mm 2016/17 nilianzisha mahusiano na Divorced woman flan baada ya kunieleza matatizo yake pia nilivutiwa na umbo lake (wezere kama lote japo alikua na smell ya ajabu sana ila nilivumilia) basi akaomba nimlipie kodi nikaona why nilipe kodi wakati nina kwangu akahamia kwangu mwanae wa kiume alikuwa SAUT-Mwanza final year basi alipomaliza mqsomo Julia 2016 nikamtafuta kazi ofisini akawa analipwa 35,000 per day. Na hapo ofisi inatoa chakula na usafiri na home anakaa bure halipii chochote. Kafanya week 2 tu kaacha. Aisee kumuambia Mama yake anadai namnyanyasa mwanae kwa sababu mm si baba yake nilicholifanya nilienda kukodi kirikuu wakabeba vilivyo vyao hasa nguo na mapazia mm nikabaki huru nikihitaji nanunua tu