Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

sometime our profesions dnt pay bills, wana vpaji gani viwatoe
 
Vijana wanapenda mteremko. Huko mbeleni kuna hatari ya dada zetu kukosa wanaume wa kuwaoa maana kutakua hakuna wanaume wa umri wao.
 
Sasa mwendo wa rivasi tu sijui mwisho tutafika wapi

kwanza tumerudishwa nyuma miaka 50 by Jenerali ulimwengu na sasa tunarudishwa mpaka mwaka 1928 by Tundu Lisu.
 
Swala siyo kuishi au kutegemea wazazi au mashemeji, jambo la kujiuliza ni kuhusu serikali yetu pamoja na nchi yetu, nini serikali imefanya kwa lengo la kufungua fursa vijana wajiajiri, kama serikali yaendelea kudidimiza sekta binafsi huyo unayetaka ajiajiri mfano kwenye kilimo yupi akanunua mazao yake, ni msomi kajiajiri kufundisha wanafunzi wanatoka wapi kama uchumi wa nchi haueleweki, kijana akaanzisha biashara yake tayari serikali kuhesabu kodi bila kutafakari huyo kijana anaingiza shilingi ngapi. Tuwe makini tunapo post habari zetu make mnarudisha watu nyuma kwenye mawazo ya kukonda, hususani vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…