Swala siyo kuishi au kutegemea wazazi au mashemeji, jambo la kujiuliza ni kuhusu serikali yetu pamoja na nchi yetu, nini serikali imefanya kwa lengo la kufungua fursa vijana wajiajiri, kama serikali yaendelea kudidimiza sekta binafsi huyo unayetaka ajiajiri mfano kwenye kilimo yupi akanunua mazao yake, ni msomi kajiajiri kufundisha wanafunzi wanatoka wapi kama uchumi wa nchi haueleweki, kijana akaanzisha biashara yake tayari serikali kuhesabu kodi bila kutafakari huyo kijana anaingiza shilingi ngapi. Tuwe makini tunapo post habari zetu make mnarudisha watu nyuma kwenye mawazo ya kukonda, hususani vijana