Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

MLETA UZI UPO SAHIHI UNACHOKIZUNGUMZA UPO SAHIHI ,....

VIJANA AINA HII WANAOSHI KWA MASHEMEJI NDIO WAMEKUWA CHANZO MIFARAKANO NA MIGOGORO NDANI YA FAMILIA NYINGI.

HAWA. NDIO. CHANZO CHA KUMFITINISHA SHEMEJI MTU NA NDUGU ZAKE TUU
 
Ndio maana Mimi sitooa mwanamke anayetoka familia ya kimasikini, kwa sababu sitakuwa na muda wa kulea watoto wa wenzangu, yaani kosa la mwingine haliwezi kunigharimu Mimi kwa namna yoyote ile. Nitahakikisha nalifanikisha hili bila kutetereka wala kubabaika.
 
Sitooa mwanamke nisiye mfahamu kwao! Na hili walijue kabisa kwamba ukiona Nina mahusiano na msichana na kwao sipafahamu, sina nia ya kupafahamu na wala sijui historia yake! Ajue kabisa kuwa hapo namtembezea moto lakini kwenye mahesabu hayupo.
Tuanze na wewe hali yako ya kiuchumi ipoje? Kwa maelezo yako ya awali inaonyesha choka mbaya hivyo unatafuta mwanamke/MWANAUME wa kukusaidia. Hujachelewa endelea kutafuta.
 

Inaelekea kuwa una mkataba na Mungu wa kuishi miaka mingapi baada ya kuoa na kuzaa watoto. Tema mate chini.... Hujui ya kesho.
 
Ni kweli mkuu vijana wengi wamekuwa legelege wanategemea kuwezeshwa at the age of 35 someone must be very responsible for your own life and the family at large.
Kweli maisha ni kuangaika unachokipata ndio chako kuliko kukaa Chini na kutamani maisha ya shemeji yako .
Jibu ni hamnazo maana ni teacher. Na nafikiri wa daraja B .mshahara sio mbaya kivile. Jamaa anaishia kuendesha boda boda za shemeji yake. Daah job true true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…