M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
- #121
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa hakuna anayefikiria kuondoka kwa shemeji zao miaka ya hivi karibuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahaaaahaaaa daah ww jamaa umenifurahishaa sanaaKuna shemeji yangu kazaliwa 1985 anaishi kwa shemeji yake aliyemuoa dada yake na hana dalili za kuondoka hivi karibuni. Najua hayanihusu ila nashangaaaga saana
Hata shemeji yako wa kiume mkuu??Dawa ya mashemeji mizigo ni kuwatia tu ili kufidia gharama
Tuanze na wewe hali yako ya kiuchumi ipoje? Kwa maelezo yako ya awali inaonyesha choka mbaya hivyo unatafuta mwanamke/MWANAUME wa kukusaidia. Hujachelewa endelea kutafuta.Sitooa mwanamke nisiye mfahamu kwao! Na hili walijue kabisa kwamba ukiona Nina mahusiano na msichana na kwao sipafahamu, sina nia ya kupafahamu na wala sijui historia yake! Ajue kabisa kuwa hapo namtembezea moto lakini kwenye mahesabu hayupo.
Iundwe tume ikio lkiongozwa na Shehe Kipozeo akisaidiwa na Daudi Vyeti Feki.Hili umeliona hebu tupe na tiba yake mkuu
Ndio maana Mimi sitooa mwanamke anayetoka familia ya kimasikini, kwa sababu sitakuwa na muda wa kulea watoto wa wenzangu, yaani kosa la mwingine haliwezi kunigharimu Mimi kwa namna yoyote ile. Nitahakikisha nalifanikisha hili bila kutetereka wala kubabaika.
Naona unao tu....Vijana tambueni thamani na wajibu wenu msibweteke na mali za wazazi ama ndugu.
Channel upewi unatafuta mwenyeweTatzo ni chanel .wape chanel wapige kaz
Kweli maisha ni kuangaika unachokipata ndio chako kuliko kukaa Chini na kutamani maisha ya shemeji yako .Ni kweli mkuu vijana wengi wamekuwa legelege wanategemea kuwezeshwa at the age of 35 someone must be very responsible for your own life and the family at large.
Jibu ni hamnazo maana ni teacher. Na nafikiri wa daraja B .mshahara sio mbaya kivile. Jamaa anaishia kuendesha boda boda za shemeji yake. Daah job true true