Asilimia 88 ya vijana (umri 30 - 35) hutegemea wazazi na mashemeji

Hiyo nyumba umemilikishwa na wazazi, umenunua, umejenga au umepanga?

Umeacha lini kuishi kwa wazazi wako? I mean ukiwa na umri gani kwa mfano...
Nyumba nimejenga mwenyewe. Nimeondoka nyumbani late teens.
 
MIMI KAMA KIJANA KATIKA MAISHA YANGU HUWA SIPENDI KUISHI KWA MASHEMEJI ZANGU

HATA KUKAA NYUMBANI KWA BABA NA MAMA HUWA PIA SIPENDI NDO MAANA NILIWAHI KUPANGA KWA SABABU
MIMI NINA TABAI YA......

1.ULEVIIIII

2.KUFANYA UZINZI

3.TATU NAPENDA KUJIACHIAA NA WASHIKAJI FULL KULA BATAA.

4.NNE SIPENDI KUPANGILIWA MUDA WA KURUDI NYUMBANI.

5.SIPENDI KUFOKEWA FOKEWAA OVYO AU KUSEMWA SEMWAA.

MIMI NDIO MAANA NILIONDOKA NYUMBANI MAPEMA COZ NAJIJUAA HALAFU HATA KWA MASHEMEJI SIPENDI KUKAAA ,
 
Vizuri kama ni uzinzi wa jinsia tofauti mkuu
 
Sio vijana Ni legelege bro Ni sera ya nchi yetu Ndio imeuharibu huu uzao.
Ujamaa umetuletea shida kubwa Sana ndugu yangu.
Hebu fikiria tungekuwa Japo na roho ngumu kidogo ukawa huendekez huu undugunaishen tungeendelea kwanza kama familia lakin Huyo unaemuhifadhi nyumban nae ukamfukuza angekuchukia kwa muda tu lakin angeiseti akili yake kutambua wajibu wake angekuwa ashapata ufumbuz wa kesho yake. Hata biblia inasema tuwe na kiasi kwa kila kitu. So mindset zetu Ndio mzigo wetu. Hii kutoa kulikopitiliza Ndio kumeiharibu jamii yetu.
 
Vijana tuachane na kupiga mizinga shemeji zetu siku akikuomba jicho utakataa? Na wakati umeshakula hela yake sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…