M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
- Thread starter
- #101
Taifa lilipaswa kujengwa na vijana lakini matokeo yake Taifa linaingia gharama kuwajenga vijana badala ya Viwanda. Tutoke huko bandugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nimeamua kumfanya shemeji (kwa siri) NYUMBA NDOGO. Yaani kuliko nikatafute kicheche mtaani bora nile humo humo ndani kwa gharama nafuu na pia katika kutimiza ile dhana ya EMPOWERMENT.
** nahusudu utaratibu wa dini fulani (jina kapuni) wa kuruhusu kuoa zaid ya mke mmoja hata kama ni ndugu.
Wamekunyea nini mkuu.vijana wengi ni mzigo wa mavvvvvi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mimi nina 38 naishi kwa shemeji ni baada ya kazi kuharibika ila kabla ya hapo nilikuwa msaada sana kwa shemej; nipo kwa muda wakat naweka mambo sawa! Daah uzi umenikamata balaa, niende wapi sasa!? Hata nyumba hii nina mchango mkubwa! Hahaha Jf kweli leo mmetubamba wakaa kwa shemej zetu! Ila jamani mi nalala tu ila kula nipo kivyangu town nahangaika
Umenena kweli mkuuKweli kabisa... tena vijana wengi wa namna hii ni mashabiki wa Yanga. Kazi kushangilia Simba ikifungwa.
Fanyeni kazi vijana!!