Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 797
- 2,314
Hahaha kumbe mkuu unawaelewa hawa watu.Akifanikiwa kuku control anakushangaa umekuwaje๐๐๐๐
Kukaa na mwanamke ni rahisi sana kama utaamua.๐๐na hapo utaelewa concept ngumu ya Why Single mom wanalalamikiwa sio wao..kuna mifumo..Hahaha kumbe mkuu unawaelewa hawa watu.
Alafu kosa huwa ni la kwako, hata kama akikukosea anataka wewe ndio ujisikie guilty
yaani aise humu duniani kwakweli kuna watu na viatu,Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai,
Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
Mwanamke ni kama siraha tu inaweza kukulinda ama kukuangamiza ni jinsi gani vile utakavyoishinae!!!Kukaa na mwanamke ni rahisi sana kama utaamua.๐๐na hapo utaelewa concept ngumu ya Why Single mom wanalalamikiwa sio wao..kuna mifumo..
It works only for foolsKikubwa nanainkamuwahi mwenzie
Ukiwa wewe mnyenyekevu anakuwahi kukucontrol
Akiwa yeye mnyenyekevu unamuwahi unamcontrol
Au sio boss?
Natania๐คฃ๐คฃ
Sasa best way ni ipi?It works only for fools
Mkuu subiria wanishauri kwanza mimi ndo nimewahi kufungua uzi watarudiSasa best way ni ipi?
Awe submissive kwako nawe uwe mwanaume kwake.
Ukishindwa kusimamia kama mwanaume ndio anakupanda kichwani
๐โบ๏ธ Naunga mkono hoja in bwege voice i.e R.I.P MBUNGE BWEGE (BUNGALA)yaani aise humu duniani kwakweli kuna watu na viatu,
ukiwa mnyenyekevu na mwenye heshima sana kwao wanakuona mnyonge wao au muoga,
ukikaa kimya na bize na mambo yako, wanakuona unaringa una majivuno,
hakuna jema kwao kutoka kwako hata uwafanyie uwafanyie na kutimiza kila wanachotaka, hawana shukrani.
hata hivyo,
NI MUHIMU SANA KUISHI NAO KWA AKILI NA WEMA WAKO KWAO USIZIDI UWEZO WAKO KIJAMII AU KIUCHUMI.
Tatizo vijana wasasa mmeshindwa kukaa kwenye nafasi zenu, na hii ndio sababu wanawake mnao kutana nao wanataka wachukue majukumu yenu (nyie mnaita kuwapanda kichwani..teh๐คฃ)
Mwanamke ni lazima aobey oder kutoka kwa mwanaume wake...๐ซค, na ikiwa kinyume chake basi angalieni tatizo lipo wapo.
Ni kwa sababu ana hurka ya kitapeli.๐โบ๏ธ Naunga mkono hoja in bwege voice i.e R.I.P MBUNGE BWEGE (BUNGALA)
NB. Kwenye social issue unakuaga very good commenter...ikija kule kazini na kwenye ile business ya kijanii unakuaga bureeeee kabisa Lecturer wangu ๐๐๐
HahahhaUpendo una njia nyingi za kuwa translated. Do not call it controlling when its someone trying to love you right.