Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Mashabiki wengi wa Soka la Tanzania especially kwa mashabiki wa Simba hawajui mpira. Wameijua Simba kipindi cha mafanikio ukiwauliza mwaka 2017,2016 nk, Simba ilikuwaje au Ina kikosi gani mtu hafahamu.
Kuna shabiki mmoja Simba tumebishana sana hajui kama Azam ashawahi kuwa bingwa wa ligi.
Bodaboda, jobless ajira hakuna wengi wamejiingiza kwenye ushabiki wa mpira bila kuanza kuujua mpira wenyewe, ukiwakuta vijiweni wanabisha kila kitu na wanaongea pointless kabisa kuhusu soka.
Ukienda kwa wenzetu uko mbele England, Hispania unakuta mtoto mdogo anaijua historia nzima ya Madrid Barcelona au Man U.
Katika watu 10 hapa Tanzania watu 7 mpaka 8 hawafahamu historia za club zao za Kariakoo wanaoshabikia labda kwa wakongwe sawa.
It's me madame football.