Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

Mpunga gani utatolewa ww boya? Hapa unaona umecheza mind game ya hatari. Majizi safari hii kazi mnayo.
Unauliza mpunga gani, unategemea mtu anaewahadaa atakuja kukwambia kuwa amepewa mpunga ili mgundue kama anawahadaa sababu ya mpunga!!

Wewe unaweza kujiona mzalendo bila kujua kama unatumiwa na wajanja kwa kutumia huo huo uzalendo wako.
 
Wewe umegundua peke yako na CHADEMA wenzio. Dubai lazima waje mvua inyeshe isinyeshe. Tumechoshwa na ubabaisha na wizi Bandarini.
Katika hili nipo upande wako mkuu, labda haujauelewa vizuri uzi.
 
Naona bado akili yako haipo huru. I mean kuna mwanasiasa fulan anaitumia kwa masilahi yake na familia yake huku wewe mwenyewe ukiwa haujui kama akili yako inatumiwa.
Ila nyie kwa kweli ni zaidi ya Chief Mangungo wa karne iliyopita!
Hamuoni aibu kufanya mambo ya late 1880s?
Au ndio maana mkampa nahuyu jina la chief Hangaya? Ili afanye kama mwenzake Mangungo?
 
Ila nyie kwa kweli ni zaidi ya Chief Mangungo wa karne iliyopita!
Hamuoni aibu kufanya mambo ya late 1880s?
Au ndio maana mkampa nahuyu jina la chief Hangaya? Ili afanye kama mwenzake Mangungo?
Kwahiyo mtu kupigania bandari kubaki katika mikono ya wakwepa kodi, wakwepa ushuru, wapitisha madawa ya kulevya, wezi wa vifaa mbali mbali pale bandarini na vishoka wao ndio usasa?

Kwamba wananchi wenye akili zetu timamu tukubali kutumiwa na wahujumu uchumi wa bandari kwa ajili ya matumbo yao na familia zao?

Hapana aisee, hao wataungwa mkono na wale wanaonufaika na hayo makundi niliyoyataja hapo juu, wakishirikiana na wale waliowahonga ili wawasaidie kuwahadaa wananchi kuwapigania.
 
Nakushukuru sana na ubarikiwe.
Asante ndugu yangu, tubarikiwe sote. Hatuwezi kuruhusu kundi dogo la wahujumu uchumi pale bandarini wakishirikiana na wanasiasa uchwara na wanasheria njaa waendelee kutuhujumu, huku wenzetu wa Kenya wakipiga hatua katika maswala ya bandari.
 
Maneno mengiii lakini haujatolea maelezo hoja hata moja alizozileta..
Yani unaleta hisia kwenye jambo ya ufafanuzi kwa kitaalamu
 
Tunauliza vigezo vya huo mkataba nyie mnapiga blabka
Nimemshangaa huyu spika Tulia akiwa kule Mbeya akifungua shule ya Benson Mpesya primary akiweleza eti hao waarabu kwa kupewa bandari watamuwezesha Samia kuwajengea shule kama hiyo na barabara!!! Zaidi ya hayo akawatukana wazee wa Mbeya eti WAPUMBAVU kwa kupinga mkataba ; wananchi hawapingi uwekezaji wanapinga terms za uwekezaji za DPworld zilizosaininwa na Samia kuwa hazina manufaa kwa nchi na watu wake!! Kama yeye ni msomi anayejinasibu kuwa anajua sheria , angelielewa hilo!

Tulia badala ya kuelezea terms za contract aliyosaini Samia akawa anajisifia kuwa yeye ana PhD ya sheria hivyo uelewa wake ni mpana kuliko hao wanaohoji huo mkataba!!! Je ni kweli huyu mama ni Msomi kuliko magwiji wa sheria wakina Profesa Issa SHIVJI ambao hawakubaliani na mkataba huo?
 
Maneno mengiii lakini haujatolea maelezo hoja hata moja alizozileta..
Yani unaleta hisia kwenye jambo ya ufafanuzi kwa kitaalamu
Nitolee ufafanuzi kwa makosa ambayo hayapo kwenye mkataba?

Hata wewe na yeye mnaleta hisia, kwa sababu mnapinga mambo ambayo hayapo kwenye mkataba. Na kama yapo tuwekee hapa tuyaone.
 
Nimemshangaa huyu spika Tulia akiwa kule Mbeya akifungua shule ya Benson Mpesya primary akiweleza eti hao waarabu kwa kupewa bandari watamuwezesha Samia kuwajengea shule kama hiyo na barabara!!! Zaidi ya hayo akawatukana wazee wa Mbeya eti WAPUMBAVU kwa kupinga mkataba ; wananchi hawapingi uwekezaji wanapinga terms za uwekezaji za DPworld zilizosaininwa na Samia kuwa hazina manufaa kwa nchi na watu wake!! Kama yeye ni msomi anayejinasibu kuwa anajua sheria , angelielewa hilo!

Tulia badala ya kuelezea terms za contract aliyosaini Samia akawa anajisifia kuwa yeye ana PhD ya sheria hivyo uelewa wake ni mpana kuliko hao wanaohoji huo mkataba!!! Je ni kweli huyu mama ni Msomi kuliko magwiji wa sheria wakina Profesa Issa SHIVJI ambao hawakubaliani na mkataba huo?
Wale wote wanaolalamikia Mikataba mibovu baina ya Serikali ya Tanzania na makapuni Ni hivi Mkataba wa Muungano ndio Mkataba mbovu kuliko Mikataba yote Tanzania ni kauli ya Makoma wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar mhe Othman Masoud Othman aloitoa jana mkwajuni kaskazini unguja
 
Nimemshangaa huyu spika Tulia akiwa kule Mbeya akifungua shule ya Benson Mpesya primary akiweleza eti hao waarabu kwa kupewa bandari watamuwezesha Samia kuwajengea shule kama hiyo na barabara!!! Zaidi ya hayo akawatukana wazee wa Mbeya eti WAPUMBAVU kwa kupinga mkataba ; wananchi hawapingi uwekezaji wanapinga terms za uwekezaji za DPworld zilizosaininwa na Samia kuwa hazina manufaa kwa nchi na watu wake!! Kama yeye ni msomi anayejinasibu kuwa anajua sheria , angelielewa hilo!

Tulia badala ya kuelezea terms za contract aliyosaini Samia akawa anajisifia kuwa yeye ana PhD ya sheria hivyo uelewa wake ni mpana kuliko hao wanaohoji huo mkataba!!! Je ni kweli huyu mama ni Msomi kuliko magwiji wa sheria wakina Profesa Issa SHIVJI ambao hawakubaliani na mkataba huo?
Angalau ungetumia akili hii hii kuwauliza hao wanaopinga mkataba wakuoneshe ni kifungu gani ambacho kinaonesha kuwa Tanzania haitofaidika na uwekezaji ukilinganisha hadi wao wakapinga natumai usingeoneshwa Kwa sababu kifungu hicho Hakuna, bali wanatumia ujinga wa baadhi ya watu kupenyeza hoja zao bila hata ushahidi kwa kimvuli cha kukubaliwa na kuaminiwa na watu hao. Sababu wapingaji lengo lao ni kupotosha na kuhakikisha mkataba unavunjwa ili watu wao waendelee kubaki pale bandarini kwa manufaa yao na familia zao.

Kuhusu Prof Shivji huyo miaka yote hupingana na serikali, haijalishi serikali hiyo inafanya vizuri au vibaya yeye atapinga tu toka enzi za awamu ya kwanza, pili, tatu na kuendelea.

Kwahiyo tushamzoea kuwa yeye ni pingapinga tu wa milele.
 
Ni kweli, wamehongwa wote ndio akiwemo Samia.
Samia angekuwa na lengo la kuhongwa basi asingeenda mbali kutafuta wawekezaji.

Angeweka tu vijana wake pale bandarini akawa anaingiziwa chake kila jua linapozama.

Wakati mungine tutumie akili zetu kufikiri kwa uhuru kwamba kati ya mwenye njaa ombaomba na yule mwenye nacho ambae ana uwezo wa kutengeneza connection ya pesa muda wowote ni nani mrahisi kutumiwa na watu kwa vijipesa kidogo ili familia yake angalau iende chooni.
 
Ni kweli, wamehongwa wote ndio akiwemo Samia.
Samia amemfungulia mtoto wake Abdul Suluhu ofisi huko Dubai na ataishi kwenye nyumba ya mama yake!!! Wazalendo wa TISS mnayajua haya? Tafadhalini okoeni nchi ndio inazama!!!
 
Asante ndugu yangu, tubarikiwe sote. Hatuwezi kuruhusu kundi dogo la wahujumu uchumi pale bandarini wakishirikiana na wanasiasa uchwara na wanasheria njaa waendelee kutuhujumu, huku wenzetu wa Kenya wakipiga hatua katika maswala ya bandari.
Na kiongozi wa hao wanasheria njaa na mbaguzi namba moja anayechukia Wazanzibar ni Mwabukusi.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika, ukiwa mwenye kutafakari kwa kina juu ya mstakabali wa nchi na future za wananchi, hakika utaweza kuona madudu mengi yaliojificha nyuma ya migongo ya viongozi wenye njaa. Kuona huko kunaweza kufanikiwa kupitia historia zao, maneno yao, na vitendo vyao.

Fikiria kiongozi mkubwa wa chama cha siasa anafika Kariakoo, badala ya kuwaeleza watu sera za chama chake, badala ya kuwaeleza watu namna watakavyofaidika, au taifa litakavyosonga mbele kimaendeleo na huduma bora kwa wananchi kutokana na sera hizo endapo chama chake au chao kitafanikiwa kushika dola.

Yeye anakuja na upepo wa bandari kwa kuwaeleza watu maneno mawili matatu ya kuuponda mkataba wa bandari bila kuonesha sehemu anayodai kuwa haifai, baada ya hapo anaanza kuomba michango na baadae akishachangiwa chake anatokomea anapokujua yeye kununua nyama, mchele, mafuta na mahitaji mengine ya lazima huku waliomchangia wengi wao wakienda kula dagaa na ugali usiku ule.

Sasa mtu mwenye akili unajiuliza kama mtu ana njaa hadi anaamua kuwakamua wale anaodai kwamba anawasaidia, je atashindwa kupokea hongo atakayohongwa na kundi lenye lengo la kumtumia kupush ajenda zao mbele.

Kama anachukua hadi elfu ya masikini muuza pilipili wa Kariakoo atawezaje kukataa milioni 1 au 2 ya wale wapitisha madawa ya kulevya bandarini, wezi wa vifaa vya magari na mizigo mbali mbali bandarini, wakwepa kodi na ushuru wa bandarini?

Jibu utapata kwamba jamaa amehongwa ili awapambanie waliomuhonga, na hizo za Kariakoo anazitumia kununua mahitaji yake ya siku. Ndio maana tunasema hawa viongozi wanapambana kwa sababu ya njaa zao na wakishapata chao wanatokomea kula na familia zao. Mnaosubiri kupata maendeleo kupitia viongozi hawa, hamna tofauti na mtu anaesubiri nazi ianguke kutoka juu ya mkungu.
wewe ndo unaakili au umeshikiwa
 
Back
Top Bottom