Asilimia 98% ya mawazo yangu nawaza wanawake

Unawawazaje?

Unawaza ukiwa unawagegeda?

Oa mkuu umuwaziege mkeo.
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Endelea kupiga puli au kujichua kuna siku utampata tulizo lako
 
Wala hauna tatizo inategemea na kazi unayoshughulika nayo hauwi busy vya kutosha kuweza kuweka concentration kwenye kazi usingewaza sex na mda huo huo unahitaji concentration kwenye kazi
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Sasa wewe ulitaka uwaze kitu gani zaidi ya hicho?
 
Kwani
Wala hauna tatizo inategemea na kazi unayoshughulika nayo hauwi busy vya kutosha kuweza kuweka concentration kwenye kazi usingewaza sex na mda huo huo unahitaji concentration kwenye kazi
Kwani wapi nimetaja sex au mwanamke ni synonymous na sex/ngono
 
Back
Top Bottom