Asilimia 98% ya mawazo yangu nawaza wanawake

Kumbuka kutumia sanitizer pindi ukiwa unanyetuka

Sent using GunTrigger
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Ukifuka miaka 22 unaweza anza kuanza. Pia toka nyumbani, kapange chumba. Maisha ya kikupiga hauta kuwa na muda wa kuwaza wanawake.
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.

ah wala haukoweye pekee kaka, wanawake ndio burudani ya dunia bwana wacha tuwawaze. mie mwenyewe hii corona imeniweka ndani basi kila saa nakumbuka wakina lilian, patricia rehema bahati mwajuma jinsi walivyonipa mautamu.
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Mda tu sina ila huna tofauti na mimi kabisaa na kuoa nimeoa vimada wawili ninao sijui inakuaje hii..?
 
unawaza wanawake au unawaza kipochi manyoya na mitindo huru ya mchezo pendwa?!
 
Usingetuwaza ndo ilipaswa uombe ushauri.Maana kila unapokuwa iwe kazini,nyumbani mtaani unakutana na wooote waliokaa tumboni kwa mwanamke.Starehe kubwaaaa na taaamu inatoka kwa ke.Uko kamili bana ndo maana unawaza kiafya.
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Aiseee...interesting
 
Back
Top Bottom