Asilimia 98% ya mawazo yangu nawaza wanawake

Ni KAWAIDA MKUU hali hiyo kutokea haswa kwa WALE WENYE VIBAMIA
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
dah ngoja nipitie comments huenda nikapata dawa
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Umri unachangia

Jr[emoji769]
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Kwani mkuu unataka kuwaza wanaume ama?
 
Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote.

Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Kumbe mwanaume unataka uwaze nini kama pesa unayo?

Ukiwa na pesa hilo lipo sawa. Kama huna pesa angalia usije ukabaka
 
Back
Top Bottom