Asilimia kubwa ndugu huvunja ndoa za ndugu zao

Asilimia kubwa ndugu huvunja ndoa za ndugu zao

Mambo ya kujazana home hayo ni umaskini tuu...
 
Vitu nilivo viweza ni kuto fanya sheree. ili kuepusha mambo kama hayo maana wakila kwenye sheree watakuja kunya kwako nyumbani
Hahaha hii nakubali, sherehe muda mwingine haina maana yoyote
 
Back
Top Bottom