Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Sio kweli, wanawake wanachotafuta katika ndoa ni heshima sio unafuu wa maisha kama unavyosema, wengine Wana maisha mazuri tu ambayo hayahitaji msaada wa mwanaume, mbona wanawake wengine wanamsaidia hata hao wachumba zao kulipa mahari????.. nitakula kesi chache tu kuthibitisha Hilo, Lady jaydee vs Gadina, Vick kamata sijui nani yule hao nao walikuwa wanatafuta mseleleko was maisha??Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha.
Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia chochote kile anachokitaka na inapotokea mwanaume umeshidwa kutimiza matakwa yake pale ndipo mwanamke anapoanza kuchange sasa unapoona hii dalili mapema.
Hua tunashauli mapema piga chini huyo mwanamke kabla ya kuingia nae katika ndoa na usije ukajifanya una Fight umpe anachokitaka mwanamke ili afurahi hapo utakuwa ndio unajichimbia kaburi na mwanamke ndio utazidi kumpa kiburi akutumie vile anavyotaka na mwishoe mahusiano uliyonayo yanaanza kukutesa.