Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

Sio kweli, wanawake wanachotafuta katika ndoa ni heshima sio unafuu wa maisha kama unavyosema, wengine Wana maisha mazuri tu ambayo hayahitaji msaada wa mwanaume, mbona wanawake wengine wanamsaidia hata hao wachumba zao kulipa mahari????.. nitakula kesi chache tu kuthibitisha Hilo, Lady jaydee vs Gadina, Vick kamata sijui nani yule hao nao walikuwa wanatafuta mseleleko was maisha??
 
Hiyo ni kwa wale waliotoka familia duni na Shule hawajaenda + options za kuijiingizia KIPATO hawana, sio kwa wote. Hivyo basi Mfanye INVESTMENT kwa watoto wenu wa kike Ili nyuzi kama hizi zisiwajadili wao
Hata uwe na kipato kiasi gani mwanaume atakuongoza tu
 
Natambua Hilo lakini ukienda kwenye Uzi wa mada ni kama vile wanawake ni watu wa kutegemea wanaume kwa Kila kitu Hadi kula yao, kitu ambacho sio
Kuna akili imejengeka kwa 80% ya wanawake kwamba mwanaume ndio ana deserve kumpa huduma zote za msingi kwahiyo unakuta mwanamke tegemeo lake ni ndoa au uhusiano wa kawaida na mwanaume halafu haipiti wiki anaanza kutangaza shida zake
 
Kuna akili imejengeka kwa 80% ya wanawake kwamba mwanaume ndio ana deserve kumpa huduma zote za msingi kwahiyo unakuta mwanamke tegemeo lake ni ndoa au uhusiano wa kawaida na mwanaume halafu haipiti wiki anaanza kutangaza shida zake
Ni kweli
 

Principal never change! ,imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho,Mwanamke atazaa kwa uchungu,hata tulalamike vipi principal itabaki ile ile
 
Mwanaume mwenye Akili zake timamu,hawezi kusupport huu utumbo.
According to bible,Mwanaume ni Kichwa hivyo suala la Kumtegemea/ Kutegemewa na Mwanamke ni kawaida na ni wajibu ulio Katika majukumu yake.
Kwahiyo basi Mwanamke hata kama ana Pesa zake,swala la wewe kumhudumia kwa KILA Kitu linakuhusu.
Waambie wakufunde Wanaume wenzio
 
Ni wachache sana tena sana
 
Ndiyo maana akina naniliu hawana wanaume kwani wanajiweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…