Jamhuri ya wachuuzi, si bure fra zina fumuka kama uyoga, na frem ni reflection ya uchuuzi,Sisi ni taifa la wachuuzi na extractive commodities
ok mimi nitajaribu ku summarize maelezo yako kama ifuatavyoWatalawa hawawaambii ukweli huu kwamba Hizi aina ya Idea/wekezaji/biashara zetu wabongo hazitupi nafasi hata kidogo ya kuja kushindana huko Duniani one day yes.
Huwezi kuja kushindana Duniani kwa;
Dunaini ukiona mataifa yote yanayo inukia kiviwanda hasa Asaia ni viwanda na techinolojia yao ndio sababu kubwa.
- Kuwekeza kwenye pub kari kari
- Hoteli
- Duka la Uchuuzi
- Guest house
- Mabasi
- Car wash na kadhalika.
China kwa sasa anatunishiana misuri na Marekani sio kwa sababu ya idadi ya Frame au pub au Guest house kari kule China hapana ni kwa sababu ya Techinolojia yao inayo mfanya kuazakisha bidhaa na kushindana.
India anainukia pakubwa sana ni kwa sababu ya Viwanda na sio idadi ya Car Wash zilizopo New Delh India na kwingineko India.
Taifa lolote linalo taka kuja kuikamata Dunia linawekeza sana kwenye techinolojia yao na kuwa Taofa la uzalishaji mali.
Tanzania hatuzalishi ni watumiaji wa hadi Chupi za mitumba kutoka kwa Wazungu, hizi ni akili za kiendawazimu na tunaona tuko sawa kabisa.
Hatuwezi kuwa hadi leo baada ya miaka 60 ya uhuru tunategemea nguo za mitumba kutoka Marekani na baadae tunadanganyana kwamba tunaelekea kuwa na uchumi mkubwa, upi huo?
Uwekezeaji wa Kitanzania tunashindwa kuambiana ukweli ni kwamba ni uwekezaji wa sisi kumshindana mtaani na Wabongo wenzetu na sio kuja kushindana Duniani huko.
Ukiona Yotong kari zimejaa Barabarani jua kule China Vijana wao wanapata ajira pia kwa wingi sana.lle Kariakoo inazalisha ajira nyingi sana China na sio Tanzania.
Bongo Idea zetu ni za ajabu sana Idea za jinsi ya kuagiza bidhaa China, yaani huo ndio ujanja yaani mtu akiweza kuagiza Bidhaaa China huyo ni Elon Musk wa Tanzania.m, ana akili sana ni mjanja sana.
Yaani ukiita vijana 100 wa Kitanzania asilimia 99.9 mawazo yao ni uchuuzi, mawa
zo ya kutafuta Mframe mtaaa fulani.
Watawala hawaambii ukweli kwa sabanu za kisiasa,
Ni kutamba China k
Hizo ni service industry ambazo ki chache sana, Productions ndio inazipa nchi kiburiBiashara yoyote kwenda kimataifa ni wewe mwenyewe utakavyo ifanya
Club 1OAk ipo USA imetoboa mpk Dubai
Sisi ni taifa la wachuuzi na extractive commodities
Hatuwezi shindana kwa sabuni, Sabani na wale ni forced entrepereneurs, wanatengeneza sabani sio kwa kupenda, sio kutoka moyoni bali ni hali ngumu ya maisha ukiwaitia kazi wanaacha sa hio kuzalisha hizo sabuni.Kwani wale wajasiriamali wa kutengeneza sabuni hawawezi kujengewa uwezo waka enda kushindana huko kenya?
Tunatumia teknolojia ama Maujanja na biadhaa ambazo hatuzizalishiWatalawa hawawaambii ukweli huu kwamba Hizi aina ya Idea/wekezaji/biashara zetu wabongo hazitupi nafasi hata kidogo ya kuja kushindana huko Duniani one day yes.