Asilimia kubwa ya mapenzi ya wadada wasaidizi wa mama ntilie siyo salama kwa afya yako

Kwakua huyo dereva anatumia ARV hawezi kuambukiza,nilisikiaga hivyo sijui ni kweli
 
Mkuu niliwahi sikua mtu akitumia ARV probability ya kuambukiza mwingine ni ndogo au ni hoax?
 
Nakubaliana na wewe hawa mabinti wa mama ntilie wengi wako hatarini sana sababu ya tamaa na kukosa misimamo hasa wa kukataa wanaume.
Binafsi nimewala sana kwa style hiyo nikiwa safari naagiza msosi niletewe chumbani(lodge)
Mdada akifika nampa noti ya elfu kumi napiga kimoja anasepa,
Tena kuna kamoja mwaka juzi niliwahi kukutana nako Singida katoto kazuri chuchu saa sita nikawa mteja wa hotel yao kila nikisafiri pande hizo mwisho wa siku nilifanikiwa kukatafuna kalikuwa katamu balaa halafu kanajua mapenzi sana kiasi kwamba nilitamani hata niende nako Dom nikakapangishie niwe najilia tu ila nilikuja kukapima ngoma nikakuta kamewaka halafu nilikuwa nishakatafuna kama mara sita hivi sina hamu.!
Baada ya kukaonyesha majibu kalipanik na kulia sana akadai hakuwa anafikiria kama ameathilika basi nilitumia muda nilimtuliza kisha akawa sawa nikawaza nifanye nn maana nilishamla mara kibao halafu situmiagi kondom.
Niliporudi Dom niliishi kwa mawazo sana na sikumwambia mtu ila nashukuru Mungu miezi kadhaa mbele nilipima nikakutwa mzima mpaka leo niko swafi ila kama ujuavyo nyege ni uchizi flani[emoji848]yule binti mpaka sasa huwa namtumia nauli anakuja Dom nampaki lodge siku mbili najipigia anaondoka na huwa anasisitiza kwamba hajawahi kutumia ARV hivyo niwe natumia kondom ila tatizo kalivyo katamu ujasiri unanishinda najikuta navua napiga kavu[emoji39] nikimaliza ndo nawaza ila nashukuru mpaka sasa bado hajaniambukiza ila kati ya mademu wote haka kadada huwa nashindwa kukaacha kabisa nahisi labda ndo shetani wangu alipo
 
Jiamini wewe binafsi, miaka ya leo hakuna kuaminiana kwenye hilo suala.
 
Mzee acha huo mchezo unless huna familia mke/watoto na majukumu mengine

Piga ila Vaa barakoa

Ushauri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…