Asilimia kubwa ya mapenzi ya wadada wasaidizi wa mama ntilie siyo salama kwa afya yako

Asilimia kubwa ya mapenzi ya wadada wasaidizi wa mama ntilie siyo salama kwa afya yako

Hiyo naitumia pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani kuna demu ukiingiza ishu ya kupima anabadirika nankuwa mkali huyo huwa najua kabisa amewaka hata nikipiga najua kabisa naingia pabaya ila sina jinsi maana kama mbususu mpya halafu ukute ni pisi kali siachi lazima nipige hata cha fasta

Hiyo mbinu ilinitokea puani, demu kumweleza tukapime kakubali kabisa nikaona hapa kavu tu, siku tunaenda kupima anao halafu mimi sina na nimegonga kavu miaka kama 2 , demu wa kizigua alikua mzuri na mtamu hatari kumwacha nilipata wakati mgumu sana, namwelewa jamaa aliesema hajakaacha kademu kenye ngoma maana nilipitia huko, basi demu akaanza dozi fasta, kwahiyo siku hizi ukikubali tunapima kweli au niingie risky nayoijua kabisa lakini sio kuamini kizembe
 
Dah, mkuu, niliumia sana tena sana, kila nikifikiria binti wa watu alivyokuwa akisambaza chakula kwenye jua kali na kwa bidii sana nilijikuta natetemeka tu. Kuna muda alileta chakula cha mchana tukawa tunamhoji kuhusu biashara kama ni yake ama ameajiliwa, ndipi aliposema kuwa yuko kwenye biashara ya mtu. Akasema anaishi na mama yake ambaye ni mgonjwa kwa sasa, mama yake kaajiliwa kwenye mashine ya kusaga na kukoboa mahindi. Hivyo amasubiri apone, ili arudi zake college

Ndo hivyo tena, ni lazima aliutwaa tu, hakuna namna wala salia mtume

Kuhusu kumshauri sikufanikiwa, kama ningelifanya hivyo, ningeliiweka lehani nafasi niliyokuwa nayo. Alikuwa anasema hapendi mtu mwenye mdomo mdomo
Asalalaaaaa.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msije kusema sikuwaambia,

Niliwahi kuwa msaidizi wa dereva wa lori moja hivi linalobeba nafaka kutoka Dodoma na Morogoro kuelekea Dsm, huyu dereva na wenzie walikuwa na kautaratibu ka kufika eneo la soko na kuanza kuyafurahia maisha kwa pupa.

Mida ya jioni walimwagilia moyo kwa kasi ya juu wakiwa pamoja na wale madada zetu wale, huku wakijipigia kimoko kimoko kila baada ya saa hadi mida ya saa nne. Baada ya hapo walikodi vyumba vya kulala wageni kisha kuwapigia simu wenzi wao kwa ajili ya kuburudika usiku ule.

Wenzi wao ni wakina nani?
Wakati walipowasili Dsm walianza kutafuta 'connection' za msosi wa asubuhi, mchana, jioni, usiku na asubuhi ya kesho. Vyakula vyote hivi vilitoka kwa mama ntilie, hivyo mabinti waajiriwa ndiyo waliyowasambazia. Kwa hiyo hawa hawa mabinti walitongozwa na kuwa vipozeo vya madereva hawa.

Turejee kwa huyu dereva wangu, kuna siku nililala kwenye bodi ya gari, katika kagua kagua ya hapa na pale nilikutana na ARV's za kumwaga tu ndani ya droo. Sikutaka kuhoji saana kwa kuwa haikuhitaji ufafanuzi.

Kesho yake asubuhi, tuliamua kumuita binti mmoja swafi aliyekuwa akisambaza vyakula pale kisha kuagiza chakula. Mimi niliagiza wali samaki na maziwa, nikatoa 10k nikarudishiwa 7k nikaweka mfukoni. Huyu dereva aliagiza wali nyama na chai ya rangi akatoa 20k akaomba chenji iliwe na yule dada kisha kuchukua mawasiliano yake.

Yule dada alituhudumia pia msosi wa mchana na usiku huku akizidishiwa pesa, na mpaka kufika jioni alikuwa tayari keshakabidhiwa kitita cha Tsh 60k. Baada ya hapo kuna maongezi waliyafanya na baada ya hapo makubaliano yalikamilika.

Baada ya yule dada kuondoka, ndipo nikapata wasaa wa kumuuliza dereva kuwa hawa wanawake unaowachukua, huwa wanakubali uwatandike bakora bila condom? Akasema "Huwa hawakubali". Ndipo nikamwambia, "Sasa kama hawakubali, mbona uliwahi nambia kuwa wewe huwezi fanya mapenzi kwa kutumia condom?"

Yule dereva akacheka sana, akasema "Hivi mwanamke anaanzaje kukushinda nguvu unapoingia naye chumbani? Hata makofi atapigwa tu ili mradi atoe kavu. Na mpaka sasa hakuna aliyewahi nishinda maarifa!"

Nikamuuliza tena,"Huogopi maambukizi?". Dereva akaangusha kicheko cha kinafki kisha kunambia,"hivi kweli wewe na akili yako hiyo unaamini kuwa UKIMWI bado upo hapa duniani?" Ikabidi nimalize story kiaina

Nyakati za usiku mida ya saa tatu nilimshuhudia yule binti mrembo akiwa ndani ya kijigauni chake swaafi na vimacho vyake vya huruma vya kusinzia sinzia huku tu, nyou nyou twake tulitwochongoka vyema tukijaribu kutoboa kigauni kile.

Baada ya binti kutufikia, nilijaribu kuzuga na kumpa ishara yule binti japokuwa alikuwa kichwa boga na ashindwe kuelewa chochote. Nilibaki nikiwatazama wakiwa wameshikana mikono huku yule dada anatembea utadhani anaburutwa. Nikaweka mikono yangu kichwani na kusema "Bwana ametoa, na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe, amen". Kisha kuingia mtaani ili kutafuta kipozeo.

Sasa ninyi wana wa mitaa hiyo mnaodet na hawa wadada mtauvaa kiaina na hamtokaa muamini, mtapeleka kwa familia zenu msambaziane, mwisho wa siku tutapukutika, narudia tena, tutapukutika tufanane na ile mizimu ya kwenye Z Nation. Suluhisho la haya yote ni 2025.

Uzi ugongelewe misumari ili wana MMU wawe aware, waache kutafunana au kutafunwa kizembe.

Msisahau kunifollow,
Melki the Story TellerView attachment 2420077
Mwambie mpwayungu village anapenda sana wasaidizi wa mama ntilie na siku nyingine mama ntilie kabisa.
 
Haaaaahaaaa!! Hao madada poa wana bei tuu tofauti ukitumia zana au bila zana!! Bila zana bei ni kuubwaa so utaamua mwenyewe!!
Utaamua mwenyewe uununue ukimwi kwa gharama kubwa 🤣🤣🤣
 
Kuna manzi moja tulikutana Mwanza then ikaja dar ikaja geto nikaila sikuipa nauli ikazila kama baada ya miaka 3 sikuitafuta mwaka jana ikaja nitafuta inataka ndoa na zile za only one nikaiuliza unafanya mishe gani Mama ntilie anasaidia.

Eneo alilosema napajua vzr nikapiga chini na blok juu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom