Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Kwa gari ya route local huyo dereva anapata wapi ujasiri wa kuhongo 60k, gari ya mjomba wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauza diesel ya bosiKwa gari ya route local huyo dereva anapata wapi ujasiri wa kuhongo 60k, gari ya mjomba wake
Unashangaa gari la mizigo dereva kutoa hyo hela wakat kuna madereva hiace(dala dala) wanahonga hela kama hyoKwa gari ya route local huyo dereva anapata wapi ujasiri wa kuhongo 60k, gari ya mjomba wake
Ila Uganda ni sehemu hatarishi sana kwenye starehe Kuna vipombe vya hovyo vingi vya bei ya sawa na Bure.Kama mtu haamini habari za umeme(2112Megawatt) atembelee pale Port Bell, Uganda. Ndugu zetu watanzania waliokuwa mabaharia meli za Mv Umoja na wafanyabiashara wengi kuna sehemu walikuwa wanaenda panaitwa Wheel House.
Wale wakina na dada wauza utamu waliambukiza raia kibao. Wengi ndoto zao ziliishia njiani na wengine wameacha wategemezi. Wale wakina dada walikuwa wakiona mtanzania wanakutunuku bure au wanaomba uwape pesa yoyote ya Tanzania, na bar watanzania walikuwa wanapendwa kwa kutoa ofa.
TusitishaneMsije kusema sikuwaambia,
Niliwahi kuwa msaidizi wa dereva wa lori moja hivi linalobeba nafaka kutoka Dodoma na Morogoro kuelekea Dsm, huyu dereva na wenzie walikuwa na kautaratibu ka kufika eneo la soko na kuanza kuyafurahia maisha kwa pupa.
Mida ya jioni walimwagilia moyo kwa kasi ya juu wakiwa pamoja na wale madada zetu wale, huku wakijipigia kimoko kimoko kila baada ya saa hadi mida ya saa nne. Baada ya hapo walikodi vyumba vya kulala wageni kisha kuwapigia simu wenzi wao kwa ajili ya kuburudika usiku ule.
Wenzi wao ni wakina nani?
Wakati walipowasili Dsm walianza kutafuta 'connection' za msosi wa asubuhi, mchana, jioni, usiku na asubuhi ya kesho. Vyakula vyote hivi vilitoka kwa mama ntilie, hivyo mabinti waajiriwa ndiyo waliyowasambazia. Kwa hiyo hawa hawa mabinti walitongozwa na kuwa vipozeo vya madereva hawa.
Turejee kwa huyu dereva wangu, kuna siku nililala kwenye bodi ya gari, katika kagua kagua ya hapa na pale nilikutana na ARV's za kumwaga tu ndani ya droo. Sikutaka kuhoji saana kwa kuwa haikuhitaji ufafanuzi.
Kesho yake asubuhi, tuliamua kumuita binti mmoja swafi aliyekuwa akisambaza vyakula pale kisha kuagiza chakula. Mimi niliagiza wali samaki na maziwa, nikatoa 10k nikarudishiwa 7k nikaweka mfukoni. Huyu dereva aliagiza wali nyama na chai ya rangi akatoa 20k akaomba chenji iliwe na yule dada kisha kuchukua mawasiliano yake.
Yule dada alituhudumia pia msosi wa mchana na usiku huku akizidishiwa pesa, na mpaka kufika jioni alikuwa tayari keshakabidhiwa kitita cha Tsh 60k. Baada ya hapo kuna maongezi waliyafanya na baada ya hapo makubaliano yalikamilika.
Baada ya yule dada kuondoka, ndipo nikapata wasaa wa kumuuliza dereva kuwa hawa wanawake unaowachukua, huwa wanakubali uwatandike bakora bila condom? Akasema "Huwa hawakubali". Ndipo nikamwambia, "Sasa kama hawakubali, mbona uliwahi nambia kuwa wewe huwezi fanya mapenzi kwa kutumia condom?"
Yule dereva akacheka sana, akasema "Hivi mwanamke anaanzaje kukushinda nguvu unapoingia naye chumbani? Hata makofi atapigwa tu ili mradi atoe kavu. Na mpaka sasa hakuna aliyewahi nishinda maarifa!"
Nikamuuliza tena,"Huogopi maambukizi?". Dereva akaangusha kicheko cha kinafki kisha kunambia,"hivi kweli wewe na akili yako hiyo unaamini kuwa UKIMWI bado upo hapa duniani?" Ikabidi nimalize story kiaina
Nyakati za usiku mida ya saa tatu nilimshuhudia yule binti mrembo akiwa ndani ya kijigauni chake swaafi na vimacho vyake vya huruma vya kusinzia sinzia huku tu, nyou nyou twake tulitwochongoka vyema tukijaribu kutoboa kigauni kile.
Baada ya binti kutufikia, nilijaribu kuzuga na kumpa ishara yule binti japokuwa alikuwa kichwa boga na ashindwe kuelewa chochote. Nilibaki nikiwatazama wakiwa wameshikana mikono huku yule dada anatembea utadhani anaburutwa. Nikaweka mikono yangu kichwani na kusema "Bwana ametoa, na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe, amen". Kisha kuingia mtaani ili kutafuta kipozeo.
Sasa ninyi wana wa mitaa hiyo mnaodet na hawa wadada mtauvaa kiaina na hamtokaa muamini, mtapeleka kwa familia zenu msambaziane, mwisho wa siku tutapukutika, narudia tena, tutapukutika tufanane na ile mizimu ya kwenye Z Nation. Suluhisho la haya yote ni 2025.
Uzi ugongelewe misumari ili wana MMU wawe aware, waache kutafunana au kutafunwa kizembe.
Msisahau kunifollow,
Melki the Story TellerView attachment 2420077
Kivipi mkuuuNakumbuka mikumi njia panda ya kuelekea ifakala na border ya mutukula pale zifa olaba[emoji120] niliponea chupuchupu God is great
Ndo uchukue tahadhari ChiefUmenena kweli tupu
Ndiyo unayajua haya leo? Mbona yalikuwepo tangu ukimwi ulipoingia na sasa ni kama yanamalizikia?Msije kusema sikuwaambia,

Kwa hiyo wewe huwa hutafuni hizo mbususu mkiwa safarini?Dah, mkuu, niliumia sana tena sana, kila nikifikiria binti wa watu alivyokuwa akisambaza chakula kwenye jua kali na kwa bidii sana nilijikuta natetemeka tu. Kuna muda alileta chakula cha mchana tukawa tunamhoji kuhusu biashara kama ni yake ama ameajiliwa, ndipi aliposema kuwa yuko kwenye biashara ya mtu. Akasema anaishi na mama yake ambaye ni mgonjwa kwa sasa, mama yake kaajiliwa kwenye mashine ya kusaga na kukoboa mahindi. Hivyo amasubiri apone, ili arudi zake college
Ndo hivyo tena, ni lazima aliutwaa tu, hakuna namna wala salia mtume
Kuhusu kumshauri sikufanikiwa, kama ningelifanya hivyo, ningeliiweka lehani nafasi niliyokuwa nayo. Alikuwa anasema hapendi mtu mwenye mdomo mdomo
Hii picha ya wapi mbinguni au 😋
Hahaaa dah! Wewe ndio komandoo wa kweliNakubaliana na wewe hawa mabinti wa mama ntilie wengi wako hatarini sana sababu ya tamaa na kukosa misimamo hasa wa kukataa wanaume.
Binafsi nimewala sana kwa style hiyo nikiwa safari naagiza msosi niletewe chumbani(lodge)
Mdada akifika nampa noti ya elfu kumi napiga kimoja anasepa,
Tena kuna kamoja mwaka juzi niliwahi kukutana nako Singida katoto kazuri chuchu saa sita nikawa mteja wa hotel yao kila nikisafiri pande hizo mwisho wa siku nilifanikiwa kukatafuna kalikuwa katamu balaa halafu kanajua mapenzi sana kiasi kwamba nilitamani hata niende nako Dom nikakapangishie niwe najilia tu ila nilikuja kukapima ngoma nikakuta kamewaka halafu nilikuwa nishakatafuna kama mara sita hivi sina hamu.!
Baada ya kukaonyesha majibu kalipanik na kulia sana akadai hakuwa anafikiria kama ameathilika basi nilitumia muda nilimtuliza kisha akawa sawa nikawaza nifanye nn maana nilishamla mara kibao halafu situmiagi kondom.
Niliporudi Dom niliishi kwa mawazo sana na sikumwambia mtu ila nashukuru Mungu miezi kadhaa mbele nilipima nikakutwa mzima mpaka leo niko swafi ila kama ujuavyo nyege ni uchizi flani[emoji848]yule binti mpaka sasa huwa namtumia nauli anakuja Dom nampaki lodge siku mbili najipigia anaondoka na huwa anasisitiza kwamba hajawahi kutumia ARV hivyo niwe natumia kondom ila tatizo kalivyo katamu ujasiri unanishinda najikuta navua napiga kavu[emoji39] nikimaliza ndo nawaza ila nashukuru mpaka sasa bado hajaniambukiza ila kati ya mademu wote haka kadada huwa nashindwa kukaacha kabisa nahisi labda ndo shetani wangu alipo
Na bado kazi yao ni derevaKuna watu wengine hiyo elfu 60 kwake ni pesa ndogo mkuu
Yule ndugu alisepa na utamu wakeUnachafua jina langu kwa jamii,
Nachoshukuru Wabongo wengi hawasikii