Asilimia kubwa ya mapenzi ya wadada wasaidizi wa mama ntilie siyo salama kwa afya yako


Hiyo mbinu ilinitokea puani, demu kumweleza tukapime kakubali kabisa nikaona hapa kavu tu, siku tunaenda kupima anao halafu mimi sina na nimegonga kavu miaka kama 2 , demu wa kizigua alikua mzuri na mtamu hatari kumwacha nilipata wakati mgumu sana, namwelewa jamaa aliesema hajakaacha kademu kenye ngoma maana nilipitia huko, basi demu akaanza dozi fasta, kwahiyo siku hizi ukikubali tunapima kweli au niingie risky nayoijua kabisa lakini sio kuamini kizembe
 
Asalalaaaaa.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie mpwayungu village anapenda sana wasaidizi wa mama ntilie na siku nyingine mama ntilie kabisa.
 
Haaaaahaaaa!! Hao madada poa wana bei tuu tofauti ukitumia zana au bila zana!! Bila zana bei ni kuubwaa so utaamua mwenyewe!!
Utaamua mwenyewe uununue ukimwi kwa gharama kubwa 🤣🤣🤣
 
Kuna manzi moja tulikutana Mwanza then ikaja dar ikaja geto nikaila sikuipa nauli ikazila kama baada ya miaka 3 sikuitafuta mwaka jana ikaja nitafuta inataka ndoa na zile za only one nikaiuliza unafanya mishe gani Mama ntilie anasaidia.

Eneo alilosema napajua vzr nikapiga chini na blok juu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…