Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Tunamshukuru RaisHali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa .
nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya
View attachment 3259854
Punguza kutupa maneno magumu maan wee pengine sio hata mkulima unajua kununua chakula tuuumwagilieni acheni kilimo chakishamba hich
INaonekan unalelelewa mpaka Leo na hata Kodi hulipi sio Kwa ujinga huo unaosemamwagilieni acheni kilimo chakishamba hicho
Mweeee! Tumefika tena huko aisee?Jua la Samia
Green City tupo safi tunamshukuru MunguMvua inanyesha kwa mgao pia nikidogo sana ,kuna haja ya kujua hali ya mvua kila msimu mpya wa kilimo ili ujue wakati sahihi wa kulima na kupanda kwamba uwahi sana au uchelewe kidogo,bila hivyo unaweza patwa na presha na mtaji ukapotea.
We Acha tu mkuuAisee! Hakuna rangi tutaacha kuona safari hii.
Na je ilipokuwa inanyesha MUNGU aliutaka utawala huo?Mvua kutokunyesha ni dalili ya kuwa utawala uliopo madarakani haitakiwi na Mungu
Hii ni afadhali ikinyesha yatapona DOM hakuna kitu mkuu, ukiona mtama na karanga vina kauka basi hakuna kitakacho toboa katika mimeaUshahidi huu hapa. 👇
View attachment 3260523
Kuna jamaa juzi kati alikuwa analalamika huko mitaa ya Mbeya nako mpunga unakauka.Balaa,mipunga wanalia tu
nawewe lelewa kama unaona nirahisiINaonekan unalelelewa mpaka Leo na hata Kodi hulipi sio Kwa ujinga huo unaosema
njoo nikuonezhe maji yalipoMaji enyewe yako wapi? Lol
Ni msiba mkubwaKuna jamaa juzi kati alikuwa analalamika huko mitaa ya Mbeya nako mpunga unakauka.
Laana ya ccm! Kama mna akili postpone uchaguzi mkuu ili hiyo fedha ambayo mgetumia iweze kutumiwa kuwanusuru wananchi watakaokabiliwa na. njaa mwaka huu!!Jua la Samia