Asilimia kubwa ya sisi members wa jamiiforum tuna stress za maisha

Asilimia kubwa ya sisi members wa jamiiforum tuna stress za maisha

Hapo sipo kwenye namba yoyote,, labda kuchepuka,, lkn hapana coz sijao sasa namchepukia nani, so kama sababu ya stress ni hiyo orodha yako hapo , mie simo
 
Ni kweli, naunga mkono hoja. Sasa suluhisho la kutoa stress ni nini? Naoma kuwasilisha.
 
Kila kitu kinatafutwa kwa jasho sana,,,! kula,kazi,mahusiano,pesa,masomo ~ sasa ukifeli kupata unaanzaje kutokuwa stressed.
Labda dunia ingekuwa pepo au paradisho.
 
Back
Top Bottom