Asilimia kubwa ya sisi members wa jamiiforum tuna stress za maisha

Hata Maxence Melo alikuwa na stress za kesi yetu ya cc wana jf Ila hata Sasa hakosi stress za gari kodinza pango la jf hq nk life is full of stress.
Ana stress pia za kukimbiwa na manguli wa JF akina Slaa, Mnyika, Pasco, Mwanakijiji, The Bold, Zitto, Mwigulu, Tibaijuka, Molemo na wengineo wengi walioikacha JF kiaina!! JF ya sasa siyo ile ya 2015 kushuka chini!! Hii tuliyonayo sasa imekusanya kila aina ya vilaza
 
Imagine jingalao nayeye ni great thinker uko sahihi.
 
Kubali ukatae asilimia 90 ya sisi members wa jf ni stressed people hebu ona. Magret thinkers tunapoangukia ilinujue tuko stressed.

1. Wengi tuna kazi Bora. (Kazi huleta stress)
2.wengi tuna pesa.(pesa huleta stress)
3.Wengi tuna ndoa (ndoa huleta stress)
4. Wengi tuna chepuka.(kuchepuka huleta stress)
5.Wengi tuna magari.(magari huleta stress)
5.Wengi tumedivosi kuachwa na kuachika. (Haya huleta stress)
6.Wengi ni watumishi wa umma. (Awamu ya tano iliwastress)

Kiufupi jamiiforum ni jukwaa la stressed people kataa.

Superbug
Rudia kusoma uone makosa yako yanayoakisi stress zako
 
Ana stress pia za kukimbiwa na manguli wa JF akina Slaa, Mnyika, Pasco, Mwanakijiji, The Bold, Zitto, Mwigulu, Tibaijuka, Molemo na wengineo wengi walioikacha JF kiaina!! JF ya sasa siyo ile ya 2015 kushuka chini!! Hii tuliyonayo sasa imekusanya kila aina ya vilaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom