Asilimia kubwa ya sisi members wa jamiiforum tuna stress za maisha

unakumbukuka uzi wangu.bila nyuma pazia aka ushirikina utasikia hii dunia.
kama unataka kuishi pazuri nenda porini hakuna changamoto ndiko adamu alipotokea
 
Hapo sipo kwenye namba yoyote,, labda kuchepuka,, lkn hapana coz sijao sasa namchepukia nani, so kama sababu ya stress ni hiyo orodha yako hapo , mie simo
 
Ni kweli, naunga mkono hoja. Sasa suluhisho la kutoa stress ni nini? Naoma kuwasilisha.
 
Kila kitu kinatafutwa kwa jasho sana,,,! kula,kazi,mahusiano,pesa,masomo ~ sasa ukifeli kupata unaanzaje kutokuwa stressed.
Labda dunia ingekuwa pepo au paradisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…