Asilimia kubwa ya waliokamatwa kwenye maandamano ya vyuo Marekani sio wanafunzi, walijichomekea tu

Asilimia kubwa ya waliokamatwa kwenye maandamano ya vyuo Marekani sio wanafunzi, walijichomekea tu

Unakataa ya AP tena😂😂😂😂

Haya wewe soma/angalia na kuchukua unayotaka.

Nilichokisikia kutoka Tel-Aviv ni kwamba wanataka vita visitishwe, sawa na walioandamana Marekani🙌🏾 Dini imeingia vipi tena😂😂😂😂.

Ndugu wanataka vita visitishwe wachukue mateka wao mlioshikilia, ila Netanyahu anataka atumie hii fursa kuelimisha kitu hayo magaidi wa dini yenu.
 
Hawa ni graduands jana in support of palestine au na hawa pia sio wanafunzi? Kichwa maji

Zoom vizuri wacha kuwaangalia kwenye makalio, utaona ni vikundi vichache vya waarabu wa dini yenu waliozaliana huko, tatizo mliachiwa laana na yule mwarabu kuwaambia mpigane na kila mtu.
 
Zoom vizuri wacha kuwaangalia kwenye makalio, utaona ni vikundi vichache vya waarabu wa dini yenu waliozaliana huko, tatizo mliachiwa laana na yule mwarabu kuwaambia mpigane na kila mtu.
HUwezi kuidanganya dunia kila siku ,wenye uelewa wanakemea uovu
 
Attachments

  • Screenshot_20240510-144349_Instagram.jpg
    Screenshot_20240510-144349_Instagram.jpg
    282 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240509-183500_Instagram.jpg
    Screenshot_20240509-183500_Instagram.jpg
    361.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240508-194210_Instagram.jpg
    Screenshot_20240508-194210_Instagram.jpg
    369.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom