netanyahu karudi madarakan kwa rushwa"Thousands of Israelis in Tel Aviv demand cease-fire and Netanyahu's resignation"-AP
View: https://www.youtube.com/watch?v=MbCYL_V1wh0&pp=ygUnVGhvdXNhbmRzIG9mIElzcmFlbGlzIGRlbWFuZCBjZWFzZS1maXJl
Taarifa hiyo juu ni mpya kabisa
Je, na hao wanao andamana Tel-Aviv wamepandikizwa?
Trump anarudi.Watu wenye ajenda zao hawawezi kubali trump kurudi ofisini.
Unakataa ya AP tena๐๐๐๐
Haya wewe soma/angalia na kuchukua unayotaka.
Nilichokisikia kutoka Tel-Aviv ni kwamba wanataka vita visitishwe, sawa na walioandamana Marekani๐๐พ Dini imeingia vipi tena๐๐๐๐.
Hawa ni graduands jana in support of palestine au na hawa pia sio wanafunzi? Kichwa maji
HUwezi kuidanganya dunia kila siku ,wenye uelewa wanakemea uovuZoom vizuri wacha kuwaangalia kwenye makalio, utaona ni vikundi vichache vya waarabu wa dini yenu waliozaliana huko, tatizo mliachiwa laana na yule mwarabu kuwaambia mpigane na kila mtu.
Umewashika papaya.Wakikujibu niite."Thousands of Israelis in Tel Aviv demand cease-fire and Netanyahu's resignation"-AP
View: https://www.youtube.com/watch?v=MbCYL_V1wh0&pp=ygUnVGhvdXNhbmRzIG9mIElzcmFlbGlzIGRlbWFuZCBjZWFzZS1maXJl
Taarifa hiyo juu ni mpya kabisa
Je, na hao wanao andamana Tel-Aviv wamepandikizwa?