Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

hahahaha!!.. Jaribu tu kwenda huko PM ila kuna mawakala wa Badoo kibao, acha nibaki huku Open kulinda nafasi yako!!..

Tangazo la kualikana PM ni ushamba lakini!!..Mtu anajiamini ana soko amwage namba yenye details zote tumfungie kazi
hahaaa nenda pm mkuu...au hujafikisha 35 age
 
hahahaha!!.. Jaribu tu kwenda huko PM ila kuna mawakala wa Badoo kibao, acha nibaki huku Open kulinda nafasi yako!!..

Tangazo la kualikana PM ni ushamba lakini!!..Mtu anajiamini ana soko amwage namba yenye details zote tumfungie kazi
Alafu huko pm sijasema natongozwaa ndugu yangu umeniquote vibayaa na siwez kukuforce unielewe .....
 
Anaitwa Erick Otieno Huyo mkuu..umeona wapi mwanamke anatangaza hivo.

DUME HILO[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha Kuna member mwingine nae alikuwa anajuhudi sana siku za hivi karibuni usinambie nae ni walewale??? Teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi ndrukiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Muwe na usiku mwemaaaa

Cc Smart911
 
Mm naamini madem wazur jf hua sio waongeaji wala hakoment sana. Nimeona weng!
Huyu bwana mambembe apambane na vyuma tu..
Hahahaha im new dere pls spare me boss....sijatangaza biasharaa lakini
 
Hivi huoni hizi ni account mpya zote zimefunguliwa leo???
 
Hivi huoni hizi ni account mpyaa
Ndio kwanza nahangaika na kamtaji kangu ka kuuza soksi mkuu!!..Ngoja kafaida karudi rudi kidogo!.
Hahahaha spare my ribs ple kwan huko pm kuna nn zaidi ya kuchat about life na na.mambo mengine ya kijamii??
 
Alafu huko pm sijasema natongozwaa ndugu yangu umeniquote vibayaa na siwez kukuforce unielewe .....
Baada ya huo ushauri wa maana kitafata kuombwa namba na wewe kujitathimini papuchi yako bei gani!?...Its an old trick for a new dog!.
 
Mm naamini madem wazur jf hua sio waongeaji wala hakoment sana. Nimeona weng!
Huyu bwana mambembe apambane na vyuma tu..
Mtu analazimisha wanaume wanaojielewa wapo PM since when!?... Maana ya social network inaharibika sasa!!
 
Wewe mahondaw nakufahamu una akili sana nashangaa huyu ERICK OTIENO anakuingiza mkengee hivihivi

Apo anatengeneza mazingira aje akuambie 'shoga nikopeshe hela'..[emoji23] [emoji23] [emoji23]

EriCK OTIENO HUYO[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeeeeeesssssssssuuu mi chokambaya tu
Hivi huoni hizi ni account mpya zote zimefunguliwa leo???
Aseeehhh naogopa sana id mpya mtu anakuchora tu afu anakucheka kwa dharaaaaaaauuuuuuuuuu lol!!! Ndomana nikasema kuwa makini sana

Cc Smart911
 
Hivi huoni hizi ni account mpyaa

Hahahaha spare my ribs ple kwan huko pm kuna nn zaidi ya kuchat about life na na.mambo mengine ya kijamii??
Cool!.. Endelea chat, ni maamuzi yenu
 
Yeeeeeesssssssssuuu mi chokambaya tu

Aseeehhh naogopa sana id mpya mtu anakuchora tu afu anakucheka kwa dharaaaaaaauuuuuuuuuu lol!!! Ndomana nikasema kuwa makini sana

Cc Smart911
Ameanza tena zile biashara zake za online awapige tena wanajf pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…