goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambembe mwanaume Kwa mwanamke ni nyapu kunanjia nyingi za kutumia akitaka kukuweka karibu ili akupe hotpipeYes i knw bt hawana mambo hayo ndugu yangu ni watu wenye busaraa zao
tuko pamoja mkuu" siwajua tena tunatoa stress....so don't mention it""Hhahaaha lengp halikuwaa hilo khaaa
Huitaji kuwa makini Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ok dear nimekuelewaa ntakuwa more careful
Kwani we nindugu yake yule money penny??Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,
mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah
Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf
Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)
Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza kusikiaa yale maneno(wanawake tunapenda maneno matamu sio makavu)
Lucky enough Pm imenipatiaa mtumishi wa bwana anayenipeleka vacation easter, kwa kweli im not lucky im blessed (kaniambiaa anataka nikatoe stress za jf)
Mungu anaipe nini mimi Mambembe?? guniaa la chawa nijikune?wacha nikale raha miyee.....
Bila kusahau kuna notification ya mtu mmoja nilikuwa namuheshimu sana nimeionaa eti Anasema alikuwa ananisubiri nitamfate Pm daaah nimesikitikaa saaanaa,yaan mtu kisa kumsifiaaa akadhani kuwa nataka kumuibiaa/kumtapeli yani nilivyoona notifaction ya comment yake nilimshusha saana anyway life must goes on mnazidi kunikomaza kiakili....
Pm is my new home.........and im there to stay
Mambembe the unstoppable
The queen of clapback
Ikikuuma chomoa
Namm nikuambie ,JF inawadada wazuriiiiiiii hawajulikan ila wataaaaaaaaaamu .Usiku mwema jamani
hahaahhhahaa wataka ...anifilisi then uje Jf kunifungulia TRD mnicheke "" aiseee hanipati mtu
Ndo maana nikawasema wale wanaume suruali ndo wanashinda hapa kuchambana ndo hawajielewi
Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,