Asilimia kubwa ya wanywa pombe ni watu wenye mipango mizuri ya maendeleo

Asilimia kubwa ya wanywa pombe ni watu wenye mipango mizuri ya maendeleo

Vipi kuhusu sigara? Hasa Embassy
Hizi wife hapendi, akisikia tu harufu ya fegi ugomvi, ila huwa Ni magoli Sana unashusha bia zako na fegi mdogo mdogo ukitafakari maisha na kubadilishana mawili matatu na wanywaji wenzangu
 
1 Tim 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Kama Yes alikunywa kwa kiasi, Mimi Ni Nani hata nikatae maelekezo ya Mwenyezi Mungu????

1Timotheo 5;23
Tokea Sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo Mara kwa mara.


Mhubiri 3:13
Tena Ni karama ya Mungu Kila mtu apate kula na kunywa, na kujiburudisha kwa mema katika kazi yake yote


Zaburi 104:15
na divai imfurahishe mtu moyo wake; aung'aze uso wake kwa mafuta, na mkate umburudishe mtu moyo wake


Mathayo 26:29
Lakini nawaambieni; sitakunywa kabisa tangu Sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa baba yangu


Luka 7:34
_Mwana wa Adam amekuja, anakula na kunywa, nanyi mwasema, 'Tazama, mlafi huyu, na mnywaji wa divai, rafiki wao watoza ushuru na wenye dhambi'.


Yohana 2:1-10
(Ugeuzwaji wa maji kuwa mvinyo huko kwenye harusi ya Kana).
 
Back
Top Bottom