Asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia nguvu za giza katika Biashara, Ajira na Harakati za Maisha Kiujumla

Mtoa mada namuunga mkono kwa 51%
Kuna dada anafanya biashara ndogo tu ya kuuza karanga barabarani, eti na yeye nikamwona ametokea kwa doctor asubuhi subuhi. Nikamuuliza umetoka kubusti? Hakujibu kitu wala kusalimia. Nikajisemea moyoni makubwa haya. Ila baadaye tuliongea alisema alienda kujilinda tu na chuma ulete.

Kuna mwingine dogo tu wa 20s hivi nilimbanduaga, baada ya kumbandua nikaona anaining'iniza kondom kwa juu hivi kama mkemia anapima uzito na ujazo wa bidhaa iliyopo ndani halafu nikaona anatabasam. Nikanyang'anya nikatia mfukoni manake hata sehemu yenyewe haikuwa rasmi.
 

Watakuja kubisha sababu nguvu za giza zimewatia uziwi na upofu
 
Huu Utafiti umeufanyaje?
 
Hili ni kweli kabisa. Natamani mtu afanye utafiti mambo haya yalivyo kwenye elimu yetu kwa upande wa wanafunzi. Maana kama yapo huko, huku kwingine hauwezi kuyamaliza.
 
Nchi hii kiwango cha ujinga kipo juu sana.

Afrika uchawi unatukuzwa sana ila umaskini nao umetamalaki, uchawi ungekuwa unafanya kaz tusingeendelea kutopea kwenye ufukara.
 
Lakini mbona bado mambo hayaendi na giza zao still 90% ni masikini mbwa
 
Ukipata mali kwa haraka bila ya haya matatu chini wewe ni shujaa
1. Ushirikina
2. Jizi /Jambazi
3. Dhulma

Ukitazama wengi asipo kua katika na 1 basi 2 au 3 au yote kwa pamoja.
 
Ukipata mali kwa haraka bila ya haya matatu chini wewe ni shujaa
1. Ushirikina
2. Jizi /Jambazi
3. Dhulma

Ukitazama wengi asipo kua katika na 1 basi 2 au 3 au yote kwa pamoja.
Sio kweli, mali ni akili na timing.
 
Acheni mawazo ya kipumbavu, huo ushirikina ungekuwa una nguvu ya kuleta maendeleo 90% ya watz wasingechoka.
 
Afanyacho mganga ni sawa na afanyacho motivation speaker to kuamsha tu akili yako iliyolala ifikirie vile utakavyo.
 
Hiyo timing iwe na haki na wala usiweke dhulma ndani yake. Kama kukwepa kodi, kuminya ujira wa vibarua, kuminywa bei wakati wa kununua, na kuuza zaidi ya mara 3 ya garama ya mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…