Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwenyeweSource
Nalog off ZLog off mkuu
Kwenye siasa, uchawi 100%
Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma😂😂😅😅
Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina. na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi
Kwenye mapenzi huko 90% ya kina mama wanatulisha vitu vizito sana ili tuwapende na kuwasikiliza..
90% ya kesi za mirathi humalizwa na ushirikina. Jikute wewe ndio unapinga wadau wasiuze mali utajikuta jalalani unaokota kopo
Narudi
Huu Utafiti umeufanyaje?Kwenye siasa, uchawi 100%
Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina. na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi
Kwenye mapenzi huko 90% ya kina mama wanatulisha vitu vizito sana ili tuwapende na kuwasikiliza..
90% ya kesi za mirathi humalizwa na ushirikina. Jikute wewe ndio unapinga wadau wasiuze mali utajikuta jalalani unaokota kopo
Narudi
Hii haihitaji source mkuu, ni asilimia 98 kabisaSource
Dkt Albina Chuwa Wa NBS Hana TaArifaTakwimu hizi umezipata wapi? Au wewe ndiye msemaji mkuu wa chama cha wa washirikina Tanzania?
Ukipata mali kwa haraka bila ya haya matatu chini wewe ni shujaaUchawi ni imani potofu! Ukiuamini, umepotea. Mimi ninaingia mwaka wa tatu huu! Hakuna cha uchawi, wala nini! Halafu biashara imenyooka kama rula.
Kutokubweteka, nidhamu ya pesa pamoja na ulinzi wake madhubuti, nidhamu kwa wateja, ubunifu, kujiongeza, kukwepa kodi za kijinga za TRA, kununua bidhaa za magendo kwa bei ya chini na kwenda kuuza kwa bei ya sokoni, kutumia fursa mbalimbali, nk ndiyo uchawi wenyewe huo sasa!!!
Thus ni masikini. Tuzipunguze zifike 30% Ili maendeleo yajeMimi nachojua ni 100%
Sio kweli, mali ni akili na timing.Ukipata mali kwa haraka bila ya haya matatu chini wewe ni shujaa
1. Ushirikina
2. Jizi /Jambazi
3. Dhulma
Ukitazama wengi asipo kua katika na 1 basi 2 au 3 au yote kwa pamoja.
Shida ndo inaanzia hapo, watu wamechoka vibaya ila kutwa kwa waganga.Lakini mbona bado mambo hayaendi na giza zao still 90% ni masikini mbwa