Huwezi kuwalaumu watoto lawama ziende kwa wazazi na jamii kwa ujumla.Gwala kwa wana Jeifu,
Niende kwenye mada, kwa siku za hivi karibuni nimeshuhudia vituko na vibweka vya watoto wa miaka 10 na kuendelea kwa
Bongo fleva ina mchango mkubwa sana hapa hasa hasa wale vijana wa wasafi yaani ukipigwa wimbo wao kama upo na watoto au watu wazima unaowaheshimu inabidi tu ubadilishe chanel
Kila mtoto anataka awe mkata maunoHii bongo fleva ina shida kubwa, ila sijajua ni kwamba wanalelewa (waimbaji) au Mamlaka husika zimekosa meno yaku-deal na hawa waimbaji