Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati.

Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium.

Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na fedha za kutengeneza mpya kati ya miaka ya 2000s hivyo kwasasa amebakiwa na active nuclear warhead 625.

Ikumbukwe kwamba marekani anazo active nuclear warhead 5500 mpaka sasa.
Hii kitu ya kudanganywa kwamba Russia hana fedha alafu mkaiamini ndio inayonishangaza mimi, mwanzo mlisema Russia hana hela ya kuendesha vita mda mrefu leo hii ni siku ya ngapi?
 
Urusi hana fedha za kutosha. Bajeti yake ni kama bajeti ya jeshi la Marekani.
 
Hii kitu ya kudanganywa kwamba Russia hana fedha alafu mkaiamini ndio inayonishangaza mimi, mwanzo mlisema Russia hana hela ya kuendesha vita mda mrefu leo hii ni siku ya ngapi?
Akili za kushikiwa hizo mkuu. Russia ina resource zake kuendesha vita kwake ni rahisi sana haingii gharama kubwa, angekuwa mnunua vitu hapo sawa, ila vingi anatengeza mwenyewe
 
Japokuwa urusi inasema kwamba wanazo nuclear warhead 6257, nyingi zilishapitwa na wakati.

Silaha za nuclear zinaishi kwa miaka 45 (plutonium) na 85 (tritium). Za urusi zilizotengenezwa na USSR miaka ya 1960s mpaka 1990s zimeshakufa maana zilikuwa plutonium.

Ikumbukwe kwamba urusi hakuwa na fedha za kutengeneza mpya kati ya miaka ya 2000s hivyo kwasasa amebakiwa na active nuclear warhead 625.

Ikumbukwe kwamba marekani anazo active nuclear warhead 5500 mpaka sasa.
SAWA MTAALAMU WA DAR TECH.....!
 
Wewe jamaa unawachokoza Warusiwa Buza ngoja waje hapa chamoto utakiona.
CC:
Bwana Utam Iran
kimsboy
 
Ukraine war: Russia appeals for new recruits for war effort​

By Will Vernon
BBC News, Volosovo, western Russia

    • Published
      4 hours ago

    That mean vijana wamekufa wengi mno inabidi watafute vijana wengine wapya.
 
Akili za kushikiwa hizo mkuu. Russia ina resource zake kuendesha vita kwake ni rahisi sana haingii gharama kubwa, angekuwa mnunua vitu hapo sawa, ila vingi anatengeza mwenyewe
ukiwa na resources ukazitumia kuendesha vita bas itakuwa hujaingia gharama , sio ?
 
Back
Top Bottom