Asilimia tisini ya silaha za nuclear za Urusi zimesha-expire

Hii kitu ya kudanganywa kwamba Russia hana fedha alafu mkaiamini ndio inayonishangaza mimi, mwanzo mlisema Russia hana hela ya kuendesha vita mda mrefu leo hii ni siku ya ngapi?
 
Urusi hana fedha za kutosha. Bajeti yake ni kama bajeti ya jeshi la Marekani.
 
Hii kitu ya kudanganywa kwamba Russia hana fedha alafu mkaiamini ndio inayonishangaza mimi, mwanzo mlisema Russia hana hela ya kuendesha vita mda mrefu leo hii ni siku ya ngapi?
Akili za kushikiwa hizo mkuu. Russia ina resource zake kuendesha vita kwake ni rahisi sana haingii gharama kubwa, angekuwa mnunua vitu hapo sawa, ila vingi anatengeza mwenyewe
 
SAWA MTAALAMU WA DAR TECH.....!
 
Wewe jamaa unawachokoza Warusiwa Buza ngoja waje hapa chamoto utakiona.
CC:
Bwana Utam Iran
kimsboy
 
Ukraine war: Russia appeals for new recruits for war effort​

By Will Vernon
BBC News, Volosovo, western Russia

    • Published
      4 hours ago

    That mean vijana wamekufa wengi mno inabidi watafute vijana wengine wapya.
 
Akili za kushikiwa hizo mkuu. Russia ina resource zake kuendesha vita kwake ni rahisi sana haingii gharama kubwa, angekuwa mnunua vitu hapo sawa, ila vingi anatengeza mwenyewe
ukiwa na resources ukazitumia kuendesha vita bas itakuwa hujaingia gharama , sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…