Asilimia ya wanaume ambao hawajapata watoto

Asilimia ya wanaume ambao hawajapata watoto

Mnafanya mpaka baby shower kwa gharama then unapigwa kishamba , mtoto sio wako ...Magereza yatajaa sana miaka ya hivi karibuni ngoja waendelee kupima DNA .
 
Sasa kama ni kweli? Hiyo mimba na masingo maza wanajazwa mimba kwa uwezo wa holyspirit ama?
Hii ina husiana vipi na hoja iliyopo mezani? Kwamba mwanamke kuzaa na mume wake na kuzaa na mwanaume ambaye si mume wake ni sawa ?
 
Kama Bashite, ilibidi akamuliwe mbegu ili zikarutubishwe kwenye maabara ndiyo maana yule Keagan wake ana chembechembe za uchina.
 
Back
Top Bottom